Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Well, hilo siwezi kulijua sababu sijawahi kwenda msikitini, sasa mimi nahusika vipi hapo?Respect wakati misikitini mnatukana imani nyingine?huu nao ni usheitwani.Au ndio miujiza yenu hiyo?huwezi kuta Kanisani eti wanaongelea uislam,uoga una ibilisi ndani yake.
Sodoma, nuhu na safinaDini ya visasi...
Mungu angekua mkali kama watu wale...hakuna mwanadamu angetoboa
Kwanini unaniuliza hivyo mkuuUnaamini uwepo wa mungu?
Utajisikiaje nikikutukania mama yako mkuu, utacheka?[emoji23]allah bhana!
Kwann unadhani sababu wewe humuoni allah na mwingine hamuoni? Mtu ambaye hajawahi kumuona mama yake (wale waliozaliwa na mama kufariki)akitukaniwa mama yake anapata uchungu? Kama ndio ni kwann ilihali haoni hisia za huyo mama yake kama ulivyosema?Kuna tofauti kubwa sana kati ya mama na mungu. Mama namuona, I feel her pain, naona hisia zake naona akiumia pale anapotendewa mabaya na mtu mwingine.
Sasa allah umewahi kumuona ama amewahi kukuomba ukampiganie kwamba watu wanamtukana? Amewahi kukwambia kua akitukanwa anaumia? Sasa unampiganiaje?
Sababu anayeamini uwepo wa mungu clearly anajua ni Imani.Kwanini unaniuliza hivyo mkuu
Umetisha mkuu👊👊Sijafurahishwa isipokuwa sijali sababu it doesn't matter to me, unapofanya makosa basi tegemea consequences.
Nisichofurahishwa ni yeye kukashifu imani za watu.
Kutukuana imani za watu ndio kua na akili nyingi?Salman akili nyingi
Dizaini ya watu kama hao wasioheshimu vya watu ni watoto waliopatikana guest houses au vichakani.Unajua maana ya personalization? na kuheshimu vya wengine?
Dini ni kama mama mzazi ni kitu very personal, au wewe unaweza kukubali nikutukanie mama yako mzazi hapa?
Utakaa chini na kusema utapata faida gani? je wewe hauna connection na emotions juu ya mama yako?
Wewe unaweza usiwe na connection kubwa na dini yako, lakini huyo ni wewe means heshimu vya watu.
Au mmekuzwa kutukana na kutoheshimu vya watu.
Haya nipe heshima yangu mdogo wanguHuyu Rushdie alitrend Sana kwenye early 1990's nilikuwa mdogo hata chekechea bado sijaanza.
Mm nafikiri hoja siyo kutukana.mm nilisona na kusikia maelezo yeke kifupii hajatukana ila akitoa majibu ya utafiti wakMimi sio mtu wa dini sana lakini ukiitukana dini yangu lazima nipanic.
Au wewe utakubali nikutukanie dini yako na mungu wako mkuu.
[emoji847]Dini lenyewe la waarabu, unaacha mila zako unaenda kuua kisa dini ya kipuuzi ya kigeni.
Huu ni ujinga usiomithirika
Njia iliyo bora ya kupambana na mpumbavu ni kumpa ushindi na sio kurudisha tusi kwa tusi wote mtaonekana ni wapumbavu.Mkuu hebu chukua hiyo glass ya maji hapo pembeni kaa chini na unisikilize vizuri.
Katika maisha yangu yote sijawahi kumuita mtu yoyote kafir sababu ni kukosa heshima na najua maumivu ya kumuumiza, kumkwaza, kumkosea na kumtukana mwengine na najua madhara yake psychologically.
Na ndio maana napanic zaidi nikiona mtu anaumiza, anakwaza, kukashifu na kutukana wengine wote na mimi nikiwemo sababu mimi siwezi kuthubutu kufanya kitu kama hicho? Sasa kwanini wewe ufanye kitu kama hicho?
Ninachokifanya ni kufight back kwa watu ambao wananikwaza specifically na sio kundi la watu wote.
Naheshimu watu wanaojiheshimu na dini zao.
Siwezi nikatoka huko bila sababu kuanza kutukana watu na dini zao bila sababu kisa tu mtu mmoja alinikwaza, huo ni ujinga at best. na kwanini nifanye hivyo?
dini ya mchongo , hukumu inatolewa na binadam , ss huyu mungu wenu nyie mnamzid mamlaka ?Fatwaa ikishawekwa hairudi nyuma abadan!, Allahu akber!
dini ya wavaa kobaz inajidhihirisha ujinga wake ,hv mungu hajiwez mpk mumpiganie , si aliwaumba lkn ?Unapochokoza nyuki pima madhara