Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Balaa kubwa hilo,
Katika vitu ambavyo mimi hueshimu sana ni Deen ya mtu, kwa sababu hii kitu mtu huanza kupandikizwa akiwa mtoto mdogo hivyo humkaa mwanadamu kisawasawa. Although I most likes Muslim women, for its good behave.
Kwanini ndugu yangu usitumie kiswahili pekee yake?
"I most likes" ndio nini hii?"For its good behave"-Nini tena hiki?
 
Kwa nini?
Hapa Tanzania Wakati huo Lyatonga Mrema alikuwa Naibu Waziri mkuu alikipiga Ban Hiki Kitabu ilikuwa ukikutwa nacho ni sawa sawa ya kukutwa na mihadharati.
 
Nonsense
 
Ukipanic hakuna tatizo, ila ukianza kushambulia na kuua watu ndipo kunakuwa tatizo. Watu wengi tu wakiona mtu anakula kitimoto, mbwa au bia wanapanic ila wanaendelea na maisha yao kwa amani.

Wahindu wengi wakiona unakula nyama ya ng'ombe wanapanic ila wanaendelea na maisha yao bila kuleta shida au vurugu.
Mimi sio mtu wa dini sana lakini ukiitukana dini yangu lazima nipanic.
Au wewe utakubali nikutukanie dini yako na mungu wako mkuu.
 
Dini sio kama mzazi ndio maana wengi tu wanahama dini au kuachana nazo kabisa.
 
Porojo tu, blah blah. Hakuna mtu mwenye uzoefu wa kusoma psychology mwenye hoja dhaifu kama zako.
 
Mungu mmoja wa haki yupi, huyo anaewaagiza mchome watu visu awape mabikra 72? Kama anawaagiza mchome watu visu yeye anashindwa nini kuwachoma visu mwenyewe?

Kuchoma watu visu na kuua watu ndio haki? Eti dini ya haki, my foot.
 
Dah
 
Bado iko hai au tatari?
 
Ukitukaniwa mama unaapandwa na hasira ya kuua? Basi Kuna watu mna matatizo yasiyo ya kawaida. Kwa ulimwengu wa leo hii matusi yakutukaniwa mama yapo kila kona, si utaua mtaa mzima?
Ulimwengu unaoishi mnatukaniana mama zenu kila kona? Unaishi kwenye jamii isiyostaharabika na wavunja sheria.

Jamii zetu ninazozifahamu hakuna mtu anaweza kuja akaanza kutukana wazazi wako hovyo, jamii itamdhibiti au sheria itamuadhibu.

Lazima tujifunze kuheshimu imani za watu wengine hata kama haupendi. Uhuru ni pamoja na kuheshimu imani za watu wengine. Esp we Christian, hatutakiwi kutukana tukana imani za watu wengine.
 
Huelewei vitu unavyojaribu unacholinganisha.
Mama yako ni halisi na anaweza kuthibitika, mambo mengi ya dini ni hadithi zisizo na uthbitisho kama za Abunuwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…