SAKATA LA KUPOTEA BEN SAANANE, DCI / DPP WABURUZWA MAHAKAMANI
DCI ashindwa kufika mahakamani huku DPP amefika na pigamizi. Samasi nyingine imetolewa ikimtaka DCI kufika bila kukosa pia DPP anatakiwa kuwapatia mawakili wa Luqman Maloto mapingamizi ya DPP ili waweze kujipanga kuhusu hoja za DPP. Kesi imehairishwa hadi tarehe 22 February 2023