Mwandishi wa Habari Luqman Maloto afungua kesi dhidi ya DCI na DPP kisa Tundu Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane

Mwandishi wa Habari Luqman Maloto afungua kesi dhidi ya DCI na DPP kisa Tundu Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane

Hivi wewe unataka watu wapotee, halafu watanzania wote wake kimya tu?😎

Nyinyi ndiyo wale wenye "mentality" ya kuwa Serikali huwa haikosei
Rais Samia amethubitisha sana madai ya watu walioonewa. DPP, Mahakama, Takukuru kwa muda mrefu vimelalamikiwa.

Hatimaye tumepata Rais mwenye uthubutu japo kuwasema.
 
08 February 2023

SAKATA LA KUPOTEA BEN SAANANE, DCI / DPP WABURUZWA MAHAKAMANI



DCI ashindwa kufika mahakamani huku DPP amefika na pigamizi. Samasi nyingine imetolewa ikimtaka DCI kufika bila kukosa pia DPP anatakiwa kuwapatia mawakili wa Luqman Maloto mapingamizi ya DPP ili waweze kujipanga kuhusu hoja za DPP. Kesi imehairishwa hadi tarehe 22 February 2023
 
Back
Top Bottom