Rais Samia amethubitisha sana madai ya watu walioonewa. DPP, Mahakama, Takukuru kwa muda mrefu vimelalamikiwa.Hivi wewe unataka watu wapotee, halafu watanzania wote wake kimya tu?😎
Nyinyi ndiyo wale wenye "mentality" ya kuwa Serikali huwa haikosei
Hatimaye tumepata Rais mwenye uthubutu japo kuwasema.