sorry nlizan.Nafaka ni malighafi , back on topic : chanzo cha kupokonywa si wao kulenga kupokonya maeneo ya Israel ? , Ni mara ngap wamejinadi kutaka kuifuta taifa la Israel ? au wanataka kufuta israel iliyochorwa tu ?Unaweza kuargue pasipo kutumia maneno ya kuudhi? Kuna sehemu nimekuita jina baya? Jihabarishe... Anayepokonya eneo la mwenzake nani? Au hizo ramani ni za uongo? Sasa utasemaje anayepokonywa eneo ndiye mchokozi?
mjinga ni yule asiejali uhai anajali udaku ambao atalipwa buku 5Next time jitahidi watu wasijue kuwa wewe ni Mjinga
unaleta fujo ukirudishiwa fujo , unaanza kelele , hiyo inaitwa mkanye mwanaoKwahiyo watu kunyanganya ardhi, kuuawa huko palestina haina uzito mkubwa kama raisi wa ukraine kumpa nishani mbwa [emoji1787].
Ndio maana nasema some people are more humans than others
Bila ya US na ISRA HELLIli mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.
Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.
Lakini husikii mkipiga keleleView attachment 2220316
hahaaa Duh hoja nyingine ni kudanganyana tuBila ya US na ISRA HELL
hii DUNIA ingekua mahala salama mnoooo
Sasa mbna mnalia lia RUSSIA akiwa anachukua eneo lake takatifu toka kwa wanazk pale UKRAINE alopewa na Mungu wake !!!??Eneo lote hilo Israel walipewa na Mungu wao kwa mujibu wa maandiko na hata mababu zao walizikwa hapo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
Wavaa kobaz wameingia vip hapo kama sio shobo mbinuko utakuja pakuliwamkuu punguza ukilaza , Ukraine kashakifa mwandishi majuz tu ila watu wapo kimya ,nyinyi wavaa kobaz mnatatizo kweli
Kwa hiyo clip kuna mtu kauwawa? Hivi ugomvi wako wewe na jirani yako huwa unapewa coverage na ITV? Ndiyo maana nikasema leta habari yenye uzito kweli ambayo ilipuuzwa kupewa coverage.Unaonekana huna ndiyo maana umeshindwa kuweka hapa.Kwahiyo watu kunyanganya ardhi, kuuawa huko palestina haina uzito mkubwa kama raisi wa ukraine kumpa nishani mbwa [emoji1787].
Ndio maana nasema some people are more humans than others
Kwamba ww huoni kundu lako linavyosapoti Israel [emoji23][emoji23], magaidi bana mnavyolialia huko Ukraine, Urusi tembeza kichapo kwa hizi ngurueUkiisapoti urussi Mimi inanihusu na nini. Wewe ni nyani tu mbele ya mrussi wa kawaida.
Mpo kimya?? Nyinyi sindio mnalialia kilasiku na propaganda zenu za urongo na nyuzi zenu kuhusu Urusi? Tena urusi hao anaowauwa si waandishi wa habari bali ni majeshi ya Nato yanayovaa gwanda wakirekodiwa wakitoa habari za uzushi ktk vyombo vya habari, Yule mdada alieuliwa leo ni muandishi official wa Al-Jazeerambona Urusi kaua mwandishi ila tupo kimya sababu lzm mtu uheshimu uhai wako , buku tano isikutoe uchiz uingie front kurepoti wakati wakulungwa wanazitwanga
Mwanangu unabishana na kilaza wanaojitoa ufahamuUnaweza kuargue pasipo kutumia maneno ya kuudhi? Kuna sehemu nimekuita jina baya? Jihabarishe... Anayepokonya eneo la mwenzake nani? Au hizo ramani ni za uongo? Sasa utasemaje anayepokonywa eneo ndiye mchokozi?
Hizi ndudu haziwezi kujibu maswali kama haya, ukiwapiga quiz kama hizi wanabaki kuchachawa, ndio ujue wanaushabiki maandaziSasa mbna mnalia lia RUSSIA akiwa anachukua eneo lake takatifu toka kwa wanazk pale UKRAINE alopewa na Mungu wake !!!??
Ni mpalestina muamerika. Embassy ya America imeitisha uchunguzi huru ufanywe..Kazi ya uandishi wa habari ni hatari sana,maana ukiwa unatokea upande wowote wa wanaopigana.....maadui watajua wewe Kuna vingine umetumwa tu.....bora asingekuwa Mpalestine.......
OkayNi mpalestina muamerika. Embassy ya America imeitisha uchunguzi huru ufanywe..
Wakiristo kuliko ww hao wanaskitika, ww huku unapinga, ujinga ni ugonjwa wa akiliKama habari ina uzito mkubwa itapewa coverage lakini kwa mfano wako wa hii clip hii ni habari ndogo sana ya watu wawili majirani wanagombea mipaka ya ardhi kwanini ipate coverage kubwa.Pengine ulete habari kubwa yenye uzito ambayo imekuwa neglected na hivyo vyombo hapo utaeleweka.
Yeah siwezi sapoti magaidiNdio ww unaelialia humu kuwalilia Ukraine sio ??