Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.
Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.
Lakini husikii mkipiga keleleView attachment 2220316
Tangu dunia iumbwe, hakuna nchi inaitwa Palestine
 
ndio maana nakuuliza kama wasingekuwa wanaanza kushambulia waisrael lin wangepoteza hayo makazi yao ? raia wapumbav sana wanatumika kufanya mashambuliz dhidi ya waisrael halaf unategemea ukidhibitiwa hayo maeneo uachiwe ili urudi tena kushambulia ? tangu 1948 Israel ilipotaka kuundwa wapalestine walipewa ofa ya kuunda nchi moja na waisrael ila ubaguz wao na umimi umewafanya mpk leo wenzae wamekuwa moja kati ya mataifa makubwa na imara ASAI huku wao wakiwa wakutanga tanga tu , kwa akili za wapalestina basi na sisi huku tuanze kuwatimua hawa waarabu , wahindi na wachina walitapakaa huku k/koo maana hapa ni kwetu , si ndo mnataka tuishi kinamna hiyo ? au wale makaburu wa afrika kusini watimuliwe ? au wale watu weusi wa amerika na ulaya watimuliwe ? WAPALESTINE NI WABAGUZI NA UBAGUZI WAO NDIO UNAWATESA SIKU WAKISTUKA NA KUTAMBUA SISI WOTE NI WAMOJA BASI WATAISHI VIZURI SANA MAANA MALENGO YAO NI VIGIMU KWA DUNIA YA LEO TUMEINGILIANA SANA NA HAKUNA MWENYE ENEO TENA
Unachangia bila hata kufuata facts. Israel ilipitisha sheria kuwa raia wake wanaweza kudai eneo lolote la palestina wakaend amahakamani, na hata kabla ya kuwa sheria muswada ukiwa haujawa sheria raia wake walianza jimegea maeneo ya Palestina hata hiyo video ndicho kilichotokea. Mara nyingi mapigano yanatokea kwakuwa maeneo yap yanazidi kummegwa. Shida ni kwamba judgement zenu ziko based on religion, and race. Ila ukiweka hayo pembeni bila shaka ukweli unaujua.
 
Shida ndipo inaanzia hapa, unafikiri kila anayewatetea wapalestina ni Mwislamu. Mimi ni mkatoliki wa kuzaliwa na sijawahi kana dhehebu langu mpaka leo. Ila penye ukweli na usemwe. Muache double standards
huez kuwa mkatoliki timamu ukatetea ubaguz wa wapalestina dhidi ya jamii nyingine , Huko Ukraine Mwandishi kafa tayari pia Wapalestina kila mara wao ndo wanaanzisha ghasia kwa kushambulia upande wa Israel , bila kusahau wapalestina walipewa ofa ya kuunda nchi moja na waisrael ila kwa ubaguz na ubinafs wao wakakataa so waache waendelee kutumika na waarabu wenzao siku wakiamka watajiunga na Israel tu
 
we kilaza , huko Ukraine yupo mwandishi kauliwa mlikuwa kimya na sisi tulikuwa kimya maana aliona udaku mzuri kuliko uhai , so tutulie tuendele mung'unya ubuyu huu
Watu ambao uwa mna argue kwa matusi uwa hamnaga facts. Uwe na siku njema
 
Aisee, hivi uwa mnajitoa ufahamu?
Hapana, lakini mlinzi wa kwanza wa uhai wako ni wewe mwenyewe mkuu..sasa unaona kabisa hapa sehemu hali ni tete lakini bado unakua mstari wa mbele kuwarekodi watu
 
Kwahiyo mtu akija kwako wewe hapo akakwambia hilo eneo lako amepewa na Mungu wake kwa mujibu wa maandiko yake na mababu zake wamezikwa hapo, utaondoka umwachie? Na majirani zako watamuunga muunga mkono?
soma historia kijana acha uzuzu wa vijiweni na kwa waimba kaswidar , soma vita vya msalaba mwekundu enzi za uroma ukitawala dunia
 
Hapana, lakini mlinzi wa kwanza wa uhai wako ni wewe mwenyewe mkuu..sasa unaona kabisa hapa sehemu hali ni tete lakini bado unakua mstari wa mbele kuwarekodi watu
Kwa hiyo inafaa raia wote wa Ukraine waikimbie nchi Russia waichukue maana wakifa ni shauri yao au sio.
 
Ndio maana tunasuport Urusi kuendelea na operations zake kuuwa magaidi manaa hatutaki unafiq, tena msitupangie kusema tuwaonelee huruma Nato wanavyopewa kichapo Ukraine

Ukiisapoti urussi Mimi inanihusu na nini. Wewe ni nyani tu mbele ya mrussi wa kawaida.
 
Ingelikuwa wewe ungekubali? Kwahiyo pia ni sawa Israel kuchukua eneo lote nje ya mkataba iliosani mwaka 1947. Ndio maana UN haina maana tu
tupe mkasa hayo maeneo yalichukuliwaje ?sio unaandika nusu nusu
 
soma historia kijana acha uzuzu wa vijiweni na kwa waimba kaswidar , soma vita vya msalaba mwekundu enzi za uroma ukitawala dunia
Wewe ndio hujasoma historia hata mgogoro huujui. Hujui kuwa hata aliyeita hilo eneo Palestina ni Mrumi baada ya kuwaondoa hao Jews. Hujui Waisrel walipoanza kurudi pale walipokelewa vizuri tu ika wakaja na itikadi yao ya Zionist ndio mgogoro ukaanza hadi Uingereza ikaanza wazuia kuendelea kurudi pale.
Kasome historia na uisome ukiwa umeweka race na dini pembeni. Stick to the facts.
Arguement zenu ni sawa mtu aje aseme leo hoi wangoni wanaweza rudi S.A wadai ardhi ambayo shaka aliwatimua
 
Ndio maana tunasuport Urusi kuendelea na operations zake kuuwa magaidi manaa hatutaki unafiq, tena msitupangie kusema tuwaonelee huruma Nato wanavyopewa kichapo Ukraine
Urusi kaua mwandishi huko Ukraine ila tunaojielewa hatuna muda wa kupiga kelele ila mwandish wa aljazeera kawa gold mpk watu watulie kuzitangwa kusubir amalize kupeperusha udaku wake ?
 
tupe mkasa hayo maeneo yalichukuliwaje ?sio unaandika nusu nusu
Nimekuwekea ramani inayoonyesha ramani ya palestina ilivyokuwa before, baada ya ya UN plan mpaka ya mwaka 2020. Leo ni 2022 eneo washachukua zaidi. Kama huamini tafta ramani nyingine mwenyewe uzuri sources ni nyingi.
Sema kwakuwa hutaki kuuona ukweli huwezi kutafta
 
Alaf mnataka Russia asimamishe operations zake Ukraine sio?? Mtaendelea kuchapwa sana tu
mbona Urusi kaua mwandishi ila tupo kimya sababu lzm mtu uheshimu uhai wako , buku tano isikutoe uchiz uingie front kurepoti wakati wakulungwa wanazitwanga
 
Unachangia bila hata kufuata facts. Israel ilipitisha sheria kuwa raia wake wanaweza kudai eneo lolote la palestina wakaend amahakamani, na hata kabla ya kuwa sheria muswada ukiwa haujawa sheria raia wake walianza jimegea maeneo ya Palestina hata hiyo video ndicho kilichotokea. Mara nyingi mapigano yanatokea kwakuwa maeneo yap yanazidi kummegwa. Shida ni kwamba judgement zenu ziko based on religion, and race. Ila ukiweka hayo pembeni bila shaka ukweli unaujua.
acha kuelezea vitu nusu nusu , ebu tuambie ilikuaje mpk kufikia huko ? nyiny teamKobaz huwa mahaba mengi kuliko uhalisia
 
Watu ambao uwa mna argue kwa matusi uwa hamnaga facts. Uwe na siku njema
kikubwa umeelewa hata Ukraine yupo mwandisho kafa so punguza kelele za kinafiki , mwandishi lazima atambue uhai wake ni bora kuliko buku 5 anayolipwa , uhai haununuliw , usipolitambua hilo bas huna tofauti na kichaa , maana unapewa kinga ya maneno tu
 
Back
Top Bottom