Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Wa kuoana wanaume kwa wanaume wamefurahi kweli,

Yaani wanavyomkumbatia yahudi utadhani jamaa akiwainamisha anawasugua vizuri sanaaaaa,

Nyie endeleeni kuona tu wanaume kwa wanaume putin akifika ndio mutatia akili
ufir@j unaongoz sn huko uarabun , ni kunyanyuliwa kanz tu
 
Mkuu ni jambo LA kawaida kwa waandishi kufanya live coverage popote pale. Unapohoji hivyo na kuwa na mashaka na umri wako lakini pia uelewa wa mambo.

Refer Taliban live footage
Refer al shabaab live footage
Pia waandishi wa habari hufanya mahojiano na magaidi,wauza madawa na kila aina ya MTU.

Usifikiri ni hawa waandishi wetu wanaopambana kuimba na kusifu wanasiasa.
jiulize mwandish alikuwa position ipi ? acha ushabik wa kipumbav , mwandish hakai front , mwandishi unakuta yupo sehem hata firing haifiki kbs au ni rasha rasha ndo zinafika ila hapo wanakuambia kuwa walimuona inamaana alikuwa sight ya kurushiana risasi halaf anatak watu wastop kisa wamemuona yy na kikoti cha uandishi , very stupid R.I.P , wavaa kobaz watatetea mtu provided ni wa imani yao haijalishi alikuwa gaidi , mwiz au mbakaji
 
Sijui hawa wa kufirana wamefurahi kwa kuwa huyu mama ni muislamu au ni mpalestina? Au kwa kuwa wauaji ni wale wanaomwita yesu mtoto wa zinaa?
Kweli hawa wanajitambua?
Au ndio mashetani wenyewe
k/koo tunasikia mnatiwa vidole na waarab , hlf mkija humu mnapinga ushoga , hamtaj mashog@ waongezeke , mabasha wachache sio.?
 
Matakatifu kwa mujibu wa nani? Maana unachokiona wewe kitakatifu mwingine anaweza kukiona sio kitakatifu. Mfano Wahindu, Mabudha, Waislamu, na madhehebu kibao yanayotofautiana kiimani. Kwahiyo na wew unaweza kukubali mtu akuondoe kwenye eneo kwa madai kwamba alipewa na Mungu wake akisimamia maandiko anayoyaamini yeye na kudai ni matakatifu?
kasome red cross was , acha kupuyanga
 
kasome red cross was , acha kupuyanga
Ngoja wewe ndo nikuelezee labda hujui.
Utawala wa kirumi ndio uliwaondoa Wayahudi kutoka Yudea ambayo ndio Yerusalem mwaka 135 CE na kuubadili jina kuuita Palestina. Zingatia mwaka hapo ni muhimu.
Baada ya hapo Warumi walisambaa maeneo mbalimbali ambayo yalikuwa chini ya utawala wa Kirumi ambayo ni Ulaya ya leo.
Umetaja vita ya msalaba ya karne ya 11, hiyo vita wayahudi waliuawa sana na wapigania Kristo kwa madai kuwa wao ndio chanzo cha kifo cha yesu.
Karne ya 14 pia wakauawa sana kwamba wao ndo chanzo cha black deaths.
Na muda wote huo walikuwa Ulaya.
Sasa sujui unaposema vita ya msalaba una maana gani maama wameuawa na crusaders.
Sasa turudi kwenye swali moja. Natives wa america ni red Indiana, kama wazungu wa kwanza kufika america wamefika mwaka 1565, na leo wanaimiliki Amerika wahindi weusi hawadai ardhi yao, iweje watu waliondoka hapo mwaka 135 CE (Yani zamani zaidi) warudi baada ya mamia ya miaka kudai ardhi?
Kila saa ninakuuliza awali dogo, na narudia tena.
Hivi inawezekana Wangoni leo hii warudi Afrika Kusini waende kwenye enewo walilofukuzwa na Shaka Zulu, waseme hili eneo lilikuwa la kwetu, tumerudu kulichukua, na dunia iwaunge mkono kuchukua hilo eneo? Inawezekana kweli?
Kama haiwezekani hilo kwa wengine, ni kwanini iwe tu kwa Jews?
 
jiulize mwandish alikuwa position ipi ? acha ushabik wa kipumbav , mwandish hakai front , mwandishi unakuta yupo sehem hata firing haifiki kbs au ni rasha rasha ndo zinafika ila hapo wanakuambia kuwa walimuona inamaana alikuwa sight ya kurushiana risasi halaf anatak watu wastop kisa wamemuona yy na kikoti cha uandishi , very stupid R.I.P , wavaa kobaz watatetea mtu provided ni wa imani yao haijalishi alikuwa gaidi , mwiz au mbakaji
Ulikuwepo mkuu? Tuachane nayo maana unaelekea kwenye matusi
 
Matakatifu kwa mujibu wa nani? Maana unachokiona wewe kitakatifu mwingine anaweza kukiona sio kitakatifu. Mfano Wahindu, Mabudha, Waislamu, na madhehebu kibao yanayotofautiana kiimani. Kwahiyo na wew unaweza kukubali mtu akuondoe kwenye eneo kwa madai kwamba alipewa na Mungu wake akisimamia maandiko anayoyaamini yeye na kudai ni matakatifu?
Ngoja sasa wapigane tu kwa sababu kila moja anaamini imani yake kwamba ndio sahihi. No way out.
 
Kila kitu kingekuwa kinaamuliwa kwa misingi ya imaani, basi bila shaka dunia nzima watu wangeuana. Hao wayahudi wameuawa kwenye karne 11 wakati ya vita vya msalaba huko ulaya kwa msingi wa kwamba walimuua Yesu. Hitler siye tu alieanaza kuwaua.
Wapigania Kristo (crusaders) wamewaua sana kwa msingi kuwa walimuua Yesu.
Na hapo walikuwa wametapakaa Ulaya baada ya kufukuzwa na dola ya Kirumi huko Jerusalem kuanzia mwaka 135 CE.
Karne ya 14, wakaanza kuuawa tena kuwa wao ndio chanzo cha black deaths.
Ndio maana nakwambia kama kila mtu ataamua kumhukumu mwenzake kwa imani ya dini yake basi kuna imani zinazoona jamii flani haitakiwi kuishi.
 
Ngoja wewe ndo nikuelezee labda hujui.
Utawala wa kirumi ndio uliwaondoa Wayahudi kutoka Yudea ambayo ndio Yerusalem mwaka 135 CE na kuubadili jina kuuita Palestina. Zingatia mwaka hapo ni muhimu.
Baada ya hapo Warumi walisambaa maeneo mbalimbali ambayo yalikuwa chini ya utawala wa Kirumi ambayo ni Ulaya ya leo.
Umetaja vita ya msalaba ya karne ya 11, hiyo vita wayahudi waliuawa sana na wapigania Kristo kwa madai kuwa wao ndio chanzo cha kifo cha yesu.
Karne ya 14 pia wakauawa sana kwamba wao ndo chanzo cha black deaths.
Na muda wote huo walikuwa Ulaya.
Sasa sujui unaposema vita ya msalaba una maana gani maama wameuawa na crusaders.
Sasa turudi kwenye swali moja. Natives wa america ni red Indiana, kama wazungu wa kwanza kufika america wamefika mwaka 1565, na leo wanaimiliki Amerika wahindi weusi hawadai ardhi yao, iweje watu waliondoka hapo mwaka 135 CE (Yani zamani zaidi) warudi baada ya mamia ya miaka kudai ardhi?
Kila saa ninakuuliza awali dogo, na narudia tena.
Hivi inawezekana Wangoni leo hii warudi Afrika Kusini waende kwenye enewo walilofukuzwa na Shaka Zulu, waseme hili eneo lilikuwa la kwetu, tumerudu kulichukua, na dunia iwaunge mkono kuchukua hilo eneo? Inawezekana kweli?
Kama haiwezekani hilo kwa wengine, ni kwanini iwe tu kwa Jews?
Swala la Israel ni swala nyeti sana hivyo huwezi kuilinganisha na swala la sijui wangoni.

Israel ipo kwenye maandiko ya kitabu kitakatifu kinachoaminiwa na mabilioni ya watu duniani ndio maana wanapata uungwaji mkono wa watu wengi katika dunia.
 
Kila kitu kingekuwa kinaamuliwa kwa misingi ya imaani, basi bila shaka dunia nzima watu wangeuana. Hao wayahudi wameuawa kwenye karne 11 wakati ya vita vya msalaba huko ulaya kwa msingi wa kwamba walimuua Yesu. Hitler siye tu alieanaza kuwaua.
Wapigania Kristo (crusaders) wamewaua sana kwa msingi kuwa walimuua Yesu.
Na hapo walikuwa wametapakaa Ulaya baada ya kufukuzwa na dola ya Kirumi huko Jerusalem kuanzia mwaka 135 CE.
Karne ya 14, wakaanza kuuawa tena kuwa wao ndio chanzo cha black deaths.
Ndio maana nakwambia kama kila mtu ataamua kumhukumu mwenzake kwa imani ya dini yake basi kuna imani zinazoona jamii flani haitakiwi kuishi.
Hiyo ndiyo shida kwani huoni hata akina Isis, Al Qaeda, Al Shabab, Boko Haram nk wanavyoua wale wenye imani inayotofautiana na ya kwao.
 
Swala la Israel ni swala nyeti sana hivyo huwezi kuilinganisha na swala la sijui wangoni.

Israel ipo kwenye maandiko ya kitabu kitakatifu kinachoaminiwa na mabilioni ya watu duniani ndio maana wanapata uungwaji mkono wa watu wengi katika dunia.
Shida ndio hapo hapo. Waliowafukuza hapo in the first place ni hao hao wenye hiyo imani, na bado kokote walipoenda huko ulaya walikuwa wanauawa kwa msingi wa hiyo hiyo imani kuwa walimuua Yesu.
Lakini mbona ilifika kipindi wenye hiyo hiyo imani wakarudi kwenye senses zao, na kuacha kuwaua kwa msingi kwamba maandiko yanasema walimuua Yesu?
 
Hiyo ndiyo shida kwani huoni hata akina Isis, Al Qaeda, Al Shabab, Boko Haram nk wanavyoua wale wenye imani inayotofautiana na ya kwao.
Atleast hayo yametambulika kuwa ni makunda ya Kigaidi yanakuwa condemned kwa kile yanachokifanya. Sasa nchi inaua, inayanganya ardi ya minorities wasiokuwa hata na nguvu ya kujitetea. Halafu dunia inashingilia. Kelele zinazopigwa Ukraine, zilibido zipigwe pia kwa kinachoendelea pale Palestina.
 
ufir@j unaongoz sn huko uarabun , ni kunyanyuliwa kanz tu
Tatizo sio kufanyika, tatizo ni kuruhusiwa na dini yenu,
Wewe dini inaruhusu kuliwa kiboga na kumwagawa uharo halafu unafuata tu kama kondoo
 
Wao ni kumwagana mavi tu kwenda mbele,
Halafu wanaenda kuua wanawake na watito na vizee hata aibu hawaoni,
Na huku weusi wenzetu wameshazoea mchezo saa zote wanawashwa hahahaha
Uharo nje nje vzn*&%%# gfdhjfuvchk
 
Mchezo wa wazungu umewakolea weusi wa kwetu basi wanatetea hadi mishipa ya shingo inataka kupasuka,
Wazungu si watu wazuri,
Kweli shetani kawazidi nguvu
 
UN inatakiwa kuiwajibisha Israel.

Memba wanachangia kama hawana vichwa.
 
Kuna Mataahira hapa mafuasi ya wazungu yenye akili za kichoko kwasababu ni mwarabu kauwawa watasema gaidi, lakin ingekuwa mzungu wa BBC au CNN yangetokwa puvu la hatari
 
Unaona, umejaa chuki mara team kobaz mara team sijui nini. Nenda kwenye jukwaa la historia kuna thread nimeandika kuhusu huo mgogoro link hii hapa
Huna tofauti na yule mgombea ubunge wa uko Geita vijijini(MUANDISHI WA GAZETI FLANI) wakati akiomba kura alitoa gazeti mbele ya umati likieleza ubadhilifu wa fedha aliofanya mpinzani wake ndani ya miaka 5 ya ubunge wake.
Alifungua ukrasa unaoeleza ubadhilifu huo wakati muandishi wa hiyo makala ni yeye mwenyewe😂.

Huo uzi ni andishi la mkono wako. wakati fulan nililisoma ila sikutia neno baada ya kuona umeandika kwa kudonyoa donyoa historia ili kufiti hisia zako na sio kufiti historia inachosema.

Mimi ninasimama na wapalestina kwasababu ya humanity tu.kwamba wanaokufa uko ni binadamu bila kujari nani ana haki na nani mkosaji.
Ukiingia kwenye Engo ya nani ana haki na nani ni mkosaji sidhani wanaosimama upande wa wapalestina wana hoja.
 
Lete ya kwako, na piga nilipodanganya. Quote nilikodanganya useme hapa umedanganya ilikuwa hivi.
 
Back
Top Bottom