Inaonekana walisha mwachisha kazi kabla ya hotuba ya Rais. Hiyo barua inaonesha tarehe 20/3/2020, wakati hotuba ilikuwa ya tarehe 23/3/2020
22/3/2020Daah, mkuu uko dunia gani? Hotuba ya raisi ni lini?
kwakweli inasikitisha sana.Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
chanzo cha chanzo cha kufukuzwa itakuwa nini wadau
Hapana WAMEJIVUA HILO MAPEMAAAInaonekana walisha mwachisha kazi kabla ya hotuba ya Rais. Hiyo barua inaonesha tarehe 20/3/2020, wakati hotuba ilikuwa ya tarehe 23/3/2020
Huo ujumbe ni balaa.
Kama ni kufukuzwa basi kulianza kabla hata JPM hajaingia kanisani JumapiliAisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Barua ya tarehe 20 march, maoni tarehe 22 march acheni upotoshaji
Na balaa lake limeanzia kwake!Huo ujumbe ni balaa.