Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,499
- 1,297
Inaonekana walisha mwachisha kazi kabla ya hotuba ya Rais. Hiyo barua inaonesha tarehe 20/3/2020, wakati hotuba ilikuwa ya tarehe 23/3/2020
Barua tarehe mtu anaweza kuweka tu, ila kama unafuatilia mambo huyu jamaa ilikuwa lazima wamfanyie kitu. Ana fikiria critically na sio mnafiki. Watu wa aina hiyo huwa hawapendwi.