Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Inaonekana walisha mwachisha kazi kabla ya hotuba ya Rais. Hiyo barua inaonesha tarehe 20/3/2020, wakati hotuba ilikuwa ya tarehe 23/3/2020

Barua tarehe mtu anaweza kuweka tu, ila kama unafuatilia mambo huyu jamaa ilikuwa lazima wamfanyie kitu. Ana fikiria critically na sio mnafiki. Watu wa aina hiyo huwa hawapendwi.
 
Kilicho msibu.......
IMG_20200323_144924.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I hope he expected such a back lash..for it is inconceivable for an upcoming and promising stringer to file such an abusive and derogatory statement against the president and expect to go scot - free!
 
Inawezekana ni sababu nyingine,jamaa kapost trh 22 kafukuzwa trh 20 ???
 
Kidiplomasia wapo sahihi kwa 100%

Mwandishi wa habari wa nchi jirani kumwambia rais wa nchi nyingine kwamba watu wake wakifa yeye awe responsible

Sio kitendo cha uungwana hata kidogo na sio profissionalism ya kazi anayoifanya

Anataka kuingiza nchi yake na Tanzania Kwenye Mgogoro wa kidiplomasia usio na msingi

Angekuwa mwandishi wa ndani ya tanzania ingekuwa sahihi 100%
 
Kuomba kwa mungu linaweza kuwa jambo la msingi hila watu pia wakubali kauli ya Magufuli was irresponsible kama mkuu wa nchi Corona achagui mikusanyiko inafanyikia wapi iwe ya ‘revellers’ au ‘pious people’ mradi mmerundikana na kuna mtu anao ni hatari.

Kuna wakati viongozi inabidi waache kuchanganya yale wanayoamini kama beliefs na ku-deal na uhalisia; na Magu kauli yake ilipotoka someone has to correct it.
 
Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Kama ni kufukuzwa basi kulianza kabla hata JPM hajaingia kanisani Jumapili
 
Barua ya tarehe 20 march, maoni tarehe 22 march acheni upotoshaji

20 ilikuwa Ijumaa, na yeye katoa maoni yake 22 Jumapili.

Wanaweza kuwa wamefanya consideration ya siku ya kazi ya wiki ambapo kosa lililomwachisha kazi limefanyika.

Cha kujiuliza, tangazo limetoka lini?
 
Back
Top Bottom