Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

~ Aje huku mji mkongwe tuendeleze kilimo cha pweza....kigogo amemponza tulimsihi na ubani aache hakusikia.

~ Aje huku kwao nchi iliyo na barka za mola na hisani za sultan qabusi...ana kipaji kingine cha kupika urojo,kababu,kachori,na katlesi...hiyo siyo nchi ni kichaka cha wahuni waminya haki.

Nchi ya Zanzibar ya asali na maziwa.
Inawasalimu AMANi..AMANi..AMANI.
 
Barua ya kufukuzwa ameandikiwa tarehe 20 wakati hotuba ya Magufuli ametoa tarehe 23 kwa maana hiyo huyu jamaa kufukuzwa sio kwasababu ya kujudge hotuba ya Magufuli Bali kutakuwa na sababu nyingine tofauti na hiyo.
Kama kweli statement waliiandika tar 20, Ni kwanini Public notice watoe leo tar 23 na siyo tar 20?

20200323_161819.jpeg
 
13 Oct 2019

LUBINGA : WAKO WALIOTAKA HATA NYERERE ASING'ATUKE



Kumekuwa na maoni kwamba hoja na ushawishi unaofanywa na baadhi ya wananchi kutaka ukomo wa uraisi uondolewe katika Katiba, unaweza kumfanya Raisi John Magufuli ashawishike na hivyo kuchukua hatua za kubaki madarakani wakati muda wake utakapoisha. Katika sehemu hii ya MCL Talk, mwandishi Khalifa Said anafanya mahojiano na Kanali Ngemela Lubinga, anayehusika na siasa na uhusiano wa mambo ya nje ya Chama cha Maapinduzi (CCM) akitaka kufahamu kwamba katika muktadha kama huo, wao kama chama wana uhakika gani kwamba mwenyekiti wao ataheshimu Katiba na kuondoka madarakani muda wake utakapoisha?
 
Angalia barua ya kufukuzwa kazi ni ya tarehe ngapi na Rais aliongea tarehe ngapi, tatizo tumekuwa wambea mno hadi tunashindwa kufanya analysis...!!!!
Kama kweli statement waliiandika tar 20, Ni kwanini Public notice watoe leo tar 23 na siyo tar 20?

20200323_161819.jpeg
 
Hicho ulichokiona kimekuwa posted twitter leo kama Public notice. Why leo na siyo tar 20?
Mkuu sijaiona barua original, lakini nimeona tu utumishi wake ulikoma toka tarehe 20.
 
Cheki hizo tarehe ndugu... Hayahusiani kabisa
Kama kweli statement waliiandika tar 20, Ni kwanini Public notice watoe leo tar 23 na siyo tar 20?

Public notice wamerelease leo mchana kwenye account yao ya twitter.
20200323_161819.jpeg
 
Kuhusu nyongeza za mishahara kwa mfano, inasubiriwa Audited Financials eg za 31 Dec za mwaka unaoisha.

Kwa hiyo zikishatoka, board inakaa inaamua kwa faida tuliyotengeneza mwaka huu, tunawaongezea wafanyakazi kiasi fulani kwenye mshahara, na hii inaanzia mwanzo wa mwaka (kutegemeana na policy za kampuni husika).

Kwa hiyo, ukiipokea March, na iko effective kuanzia January unalipwa arrears (bakaa) za Jan na Feb.

Hata kwenye adhabu pia inakuwa hivyo, mfano TRA wanafanya audit leo, wanakupa adhabu ya fine inayoanzia miaka kadhaa nyuma.
Shukrani mkuu,...Asante kwa elimu mpya.
Ila mimi kwa upande wangu nadhani hiyo ingekuwa sahihi kama kosa angelitenda kabla ya ban... Ila hapa inaonekana wamemfire kabla hata hajaposti hisia zake... Mimi naona kuna kosa alilifanya huko nyuma,wakamfukuza kazi notice akapata tar 20...halafu twiti yake akaiandika baadaye jana siku hiyohiyo ya hotuba ya rais
Kama nipo wrong waweza nisahihisha.
 
Tangazo la kufukuzwa kazi 20 march post ya kumkosoa jpm 22 march. Kama amefukuzwa kwa sababu hiyo basi hao citizen ni
Manabii au sorcerers
La sivyo amefukuzwa kwa sababu zingine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss huyo dogo ni mzanzibar. FYI
Kidiplomasia wapo sahihi kwa 100%

Mwandishi wa habari wa nchi jirani kumwambia rais wa nchi nyingine kwamba watu wake wakifa yeye awe responsible

Sio kitendo cha uungwana hata kidogo na sio profissionalism ya kazi anayoifanya

Anataka kuingiza nchi yake na Tanzania Kwenye Mgogoro wa kidiplomasia usio na msingi

Angekuwa mwandishi wa ndani ya tanzania ingekuwa sahihi 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom