Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli statement waliiandika tar 20, Ni kwanini Public notice watoe leo tar 23 na siyo tar 20?Barua ya kufukuzwa ameandikiwa tarehe 20 wakati hotuba ya Magufuli ametoa tarehe 23 kwa maana hiyo huyu jamaa kufukuzwa sio kwasababu ya kujudge hotuba ya Magufuli Bali kutakuwa na sababu nyingine tofauti na hiyo.
Kama kweli statement waliiandika tar 20, Ni kwanini Public notice watoe leo tar 23 na siyo tar 20?Angalia barua ya kufukuzwa kazi ni ya tarehe ngapi na Rais aliongea tarehe ngapi, tatizo tumekuwa wambea mno hadi tunashindwa kufanya analysis...!!!!
Barua kapewa ya kufukuzwa kazi kapewa tarehe 20 na hotuba ya Magufuli ilikuwa tarehe 23 nafikiri Kuna sababu nyingine ambayo iliyosababisha kufukuzwa kazi ila sio hii.
Mkuu sijaiona barua original, lakini nimeona tu utumishi wake ulikoma toka tarehe 20.
Kama kweli statement waliiandika tar 20, Ni kwanini Public notice watoe leo tar 23 na siyo tar 20?Cheki hizo tarehe ndugu... Hayahusiani kabisa
Shukrani mkuu,...Asante kwa elimu mpya.Kuhusu nyongeza za mishahara kwa mfano, inasubiriwa Audited Financials eg za 31 Dec za mwaka unaoisha.
Kwa hiyo zikishatoka, board inakaa inaamua kwa faida tuliyotengeneza mwaka huu, tunawaongezea wafanyakazi kiasi fulani kwenye mshahara, na hii inaanzia mwanzo wa mwaka (kutegemeana na policy za kampuni husika).
Kwa hiyo, ukiipokea March, na iko effective kuanzia January unalipwa arrears (bakaa) za Jan na Feb.
Hata kwenye adhabu pia inakuwa hivyo, mfano TRA wanafanya audit leo, wanakupa adhabu ya fine inayoanzia miaka kadhaa nyuma.
I have, that is tricky.
Tangazo limetoka lini?
Akili za kina mjinga mimi.
Kwanini public notice itolewe leo?Mleta mada umetudanganya, sababu za kufukuzwa kazi sio kumkosoa magufuli. Kazi kafukuzwa tarehe 20/3/2020 siku mbili kabla hajatoa mawazo yake kumkosoa magufuli ambapo ni tarehe 22/3/2020
Angalia tarehe ambayo umma umejulishwa.Tarehe 20
Hotuba ya rais ilikuwa jana 22/3 na tweet pia ni ya hiyo tarehe... Inamaanisha alifukuzwa kazi kabla hata ya hotuba ya rais.
angalia tarehe ya tangazo weweKwanini public notice itolewe leo?View attachment 1397045
Kidiplomasia wapo sahihi kwa 100%
Mwandishi wa habari wa nchi jirani kumwambia rais wa nchi nyingine kwamba watu wake wakifa yeye awe responsible
Sio kitendo cha uungwana hata kidogo na sio profissionalism ya kazi anayoifanya
Anataka kuingiza nchi yake na Tanzania Kwenye Mgogoro wa kidiplomasia usio na msingi
Angekuwa mwandishi wa ndani ya tanzania ingekuwa sahihi 100%
angalia tarehe ya tangazo wewe