Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,385
Mbona Askofu Desmond Tutu alipopigania haki Afrika ya Kusini hamkusema hivyo? Abel Muzorowa pia alikuwa na ruhusa ya kuzungumza na kupigania haki huko South Rhodesia ya Ian Smith.Uaskofu umekuwa uanasiasa
Mmeanza kumgeuka tena na mama jamaniπ π π
Hatukumwelewa mwanzoni. Kumbe ni mwoga wa demokrasia, and she is indicating now that her reliance is on bullets and not ballots. What a let down.Mmeanza kumgeuka tena na mama jamaniπ π π
Hamna ubavu huo, hivi, umefatilia habari za South Africa karibuni? Wamesimamisha kila kitu kwa mda! Lakini serikali ilipo amua kweli, kiko wapi? Sembuse nyinyi ambao mko wachache, mtaweza? Mtapigwa kama mbwa koko.
Kibali? You seem to be one of the imbeciles around! Hili ni koloni au taifa huru? Hujui kuwa Uhuru wa raia kukutana uko ndani ya Katiba Ya sasa licha ya mapungufu yake?!Walikua na kibali?
Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Alaaah! Mi nilijua nyie wafuasi wa wahuni hamkatwiMimi nimeshamwambia mama afungue akaunti bank. Sina muda wa kukomalia kitu ambacho siwezi kukibadili mwenyewe.
Mbowe yupi ??Mbowe yuko Tayari. Nitamuunga mkono.
Na kipindi hicho nilikuwa mjinga kama wewe, sasa nimeelimika. Karibu tudai haki yetu. [emoji58]
Ni heri iwe hivyo [emoji58]Hamna ubavu huo, hivi, umefatilia habari za South Africa karibuni? Wamesimamisha kila kitu kwa mda! Lakini serikali ilipo amua kweli, kiko wapi? Sembuse nyinyi ambao mko wachache, mtaweza? Mtapigwa kama mbwa koko.
FreemanMbowe yupi ??
Mimi ni mfuasi wa haki za kibinadamu na kiutu.Alaaah! Mi nilijua nyie wafuasi wa wahuni hamkatwi
Polisi walikatazaje kama hawakuwa na taarifa? Walisikia fununu tu?View attachment 1856866
kumbe walizuiwa kwa kuwa hawakutoa taarifa hao ni wahalifu tu kama wahalifu wengine wakae ndani mpaka jumatatu watoke na mimba
Desmond tutu.Uaskofu umekuwa uanasiasa
Mbowe yupi ??
Peleka ujinga wako, unajua athari za kupoteza amani uliyonayo kwaaji ya wapuuzi wachache wenye tamaa za binafsi.Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.
Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Si bora ipotee tu hii amani kama hatuheshimiani. Amani ya kitu gani.Peleka ujinga wako, unajua athari za kupoteza amani uliyonayo kwaaji ya wapuuzi wachache wenye tamaa za binafsi.
Mungu anasikia. Kabla ya 17 March 2021, mlisema dua la kuku. Utakuwa na roho ya shetani tu kushabikia uonevu na udhalimu. Kama una roho ya Mungu lazima udhalimu ukuumize. Jipime.
Na hapa uko kwenye jukwaa la siasa?? Nenda huko we mwanalumumba fcMimi ni mfuasi wa haki za kibinadamu na kiutu.
Siwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa tajiri msaka madaraka.
Nioneshe mwanasiasa masikini.
Vinginevyo subiri nishibe kwanza na mimi ili tuwe LEVEL moja.
shetani jiwe ndio kasababisha yote haya.Japo tunammiss tunajua kifo ni faida kwa waliopendwa zaidi..... sijui wewe utaishi mileleπ π π π π
Mimi nawareport [emoji58][emoji112]La mamako lilikupitisha wewe unalionaje[emoji848][emoji848]