Wapelekwe rumande faster. Hakuna mtu aliye juu ya sheria. Mikutano ya hadhara ishazuiliwa. Hicho kiherehere chao ndiyo wakome
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Kibali? You seem to be one of the imbeciles around! Hili ni koloni au taifa huru? Hujui kuwa Uhuru wa raia kukutana uko ndani ya Katiba Ya sasa licha ya mapungufu yake?!
Wenda wapo wanaomfariji rais SSH , kwamba atumie mfumo wa mwendazake kuongoza nchi , ila wanampeleka chaka , hilo halitawezekana , na atashindwa vibaya Sana, mda ni mwalimUwe mwelewa usiwe mwelewa pambana na hali yako.
Ukweli usio na kificho.
Mimi nawareport [emoji58][emoji112]
NoHivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.
Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
N sense andamana mwenyewe mid nakula bia tuHivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.
Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Wewe na huyo JamaaUnawareport mwamakula au bawacha!?
Mimi naandamana sijui bia utanywea wapi.?No
N sense andamana mwenyewe mid nakula bia tu
Mara ya mwisho walipomkamata Baba Askofu tulizika kichaa
Tanzania wengi bado ni wajinga saaana, Rais anawezaje kuzuia mikutano kinyume na katiba aliyoiapa?
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Kuna hii hapa naupenda SanaTanzania wengi bado ni wajinga saaana, Rais anawezaje kuzuia mikutano kinyume na katiba aliyoiapa?
Kauli ya Rais sio sheria
Kwahiyo unataka kuleta machafuko??Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.
Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Nyinyi mlisema mtamlazimisha Mama kuhusu katiba mpya. Haya mlazimisheni sasaHakika siasa za Tanzania ni za kustabisha sana. Rais samia alitangaza kuwa mikutano ya hadhara bado ni marufuku isipo kuwa mikutano ya ndani.Ccm ambacho ni chama cha rais samia viongozi wake wamekuwa wanazunguka nchi nzima wakifanya hiyo mikutano ya hadhara iliyokatwaza lakini hatuoni polisi kuwakamata zaidi ya kuwalinda. Chadema wametii agizo la rais samia na kuamua kufanya mikutano ya ndani.
Leo huko Mwanza rpc amewazuia kufanya mkutano wa ndani na kuwakamata mkutano ambao ndio ulio ruhusiwa na rais samia.
Tunaiomba serikali itende haki kwa vyama vyote na jeshi la polisi liache kusababisha uvunjifu wa amani kwa wananchi usio na sababu kwani mkutano wa ndani ungesababisha nini?
Shaka katibu wa uenezi wa ccm akihutubia wananchi huko rukwa katika mkutano wa hadhara mikutano iliyozuiliwa lakini polisi walimlinda badala ya kumkamata.
View attachment 1856804
Kamata hawa wasianze porojo za kututoa relini.
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Kwani umeambiwa mapambano yameisha? Wait and seeNyinyi mlisema mtamlazimisha Mama kuhusu katiba mpya. Haya mlazimisheni sasa
Haihitaji kibali kukusanyika ndani ya ukumbi hivi mkiwa na kikao cha ukoo au tambiko mnaomba kibali?Walikua na kibali?
Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Tukutane posta j3Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.