Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Sio kweli.
Na sio straight hivyo.
Inaweza ikawa haki ya kikatiba lakini haiko wazi na jumla jumla. Katiba ni sheria mama lakini zipo taratibu na kanuni zinazoendesha sheria hizo.
Wakati wewe unaona ni mkutano wa ndani na hivyo huhitaji kibali wala ulinzi wa polisi, polisi nao wanakuja na hoja kuwa kazi yetu ni kulinda raia na mali zao, wanawezaje kupata uhakika kuwa mkutano huo hauna athari kwa watu wengine wasiohusika na mkutano (au/hasa maandamano) huo? Wao sasa kutumia hoja hiyo wana rule out haki unayosema huhitaji ulinzi kwa sababu hautakuwa peke yako mtakuwa wengi na huna namna ya kuwathibitishia huhitaji ulinzi ambao ni kazi yao ya msingi maana ulinzi wanaotoa ni wajibu wao na sio kwa kuangalia raia anahitaji au hahitaji maana usalama unaanza na mtu, kikundi, mtaa mpaka inafika unaitwa usalama wa taifa. Ni mawazo tofauti tu.
 
Mbona wakati wa magu hawakudhubutu
Unataka kusema nini au unaamanisha kua wanataka kumuonea nani!?
Hata asipokuwepo bado kivuli chake kitaendelea kuwepo na kutuongoza kwa muda mrefu
Mfano zuio la mukutano kama hii lilizuiliwa na huyoo
Sasa huyu wa sasa hajataka hata kuliondoa
Hii ina maana kua bado tunaongozwa na kivuli cha magu!
 
Wapinzani fanyeni siasa kwenye majimbo yenu. Wenzenu CCM wanapita kwenye sehemu zao za kiutawala
Chadema nendeni Nkasi Kaskazini
Cuf nendeni Mtwara Vijijini
ACT nendeni Zanizibar
 
Ushauri kwenu Chadema.....
Mkikumbuka wakati wa kudai uhuru Radio vipeperushi vilitumika sana
Kwa nini msiwekeze nguvu kwenye kuwa na Radio na Television kufikisha ujumbe kwa hata walioko vijijini. Mfano mkiweka kituo Busia ya pande ya Kenya Kaskazini wote watasikia (huu ni mfano mmoja) wekeni vituo mipakani hizi kongamano mikutano muwe mmedhamiria kweli kweli kama mbwai na iwe mmbwai. Hili la kuita vyombo vya habari mnawapotezea watu muda.
Amueni
Hili la Leo basi mjue kila mtakapoenda hali ya kamata kamata itawakumba

Tumieni RADIO na SOCIAL MEDIA Kufanya mikutano otherwise MAANDAMANO ni MUHIMU
VITUO vya Radio msiweke mjini wekeni mipakani
 
Nawahurumia polisi ambao wanafanyishwa mambo kama punda. Hawajui msaada wao ni nani wala hawa mtesi wao ni nani
Gwajima anafanya nini siku hizi?
Anatunga sheria za tozo
Kwani hujakutana na matokeo mkuu?
 
Kusema nyuma ya keyboard ni raisi sana mwana,Mziki kuja front,hata Kiduku wa Ubelgiji hawezi anaogopa,anajua kipigo cha Mbwa kokoo kitamuhusu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…