Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Tena ukiunganisha na huu ujambazi wao tozo za kitapeli itakua ni [emoji91]
 
NA HIYO NDIO HAKI ILIYOWEKWA NA KATIBA?
 
Na unajivunia nchi ambayo mahabusu wananyonywa vinyesi BADARA ya kutendewa haki?

Amandla...
Acha wanyonywe vinyesi kwani wao wanatutendea haki kutuacha tupambane na umasikini wenyewe? Au haujui umasikini ni adui wa taifa? Watu tupo busy kupigana na umasikini uchumi ukue wao wako busy kututoa kwenye reli...
 
Wapi nimesema ni mkutano wa ndani? Mkutano wa ndani ni nini?

Polisi probable cause yao kuingilia mkutano wa watu ni ipi?

Reasonable suspicion wanai establish vipi?
 

Uzuri wa ujinga wao ni kuwa kwa kila tukio la namna hii ndipo nia yetu ya kudai katiba mpya inavyozidi kukua zaidi.

Inafahamika kuwa bila ya kukabiliana na majahili hawa kwa kuingiana nao maungoni vilivyo, halipo lenye tija litakalopatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…