Hapa ndiyo umeandika nini sasa mkuu?My words
Penetration tayari
We continue with hii vibe, hatufiki 2030 tutakua unstable state
The chaos mongers wengi are just in the wagon with no idea
Law And order Haina mjadala
Tena hako kaaskofu kenye kwashakoo kanapaswa kuliwa Kwampalange maana kana kiherehere mno. Huyo Lwaitama na yeye anachokitafuta nini? Aendelee kupanda daladala tu
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Umeshindwa kuandamana kwa kuongezewa gharama za maisha kwa tozo kubwa za miamala eti uje kuandamana kwa upuuzi wa akina Mwamakula, stupidHivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.
Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Nilishasema cheo cha wakuu wa mikoa na wilaya kifutwe hakina faida maana hao jamaa niwanachama wa CCM.
Wewe mama unazeeka vibaya. Hakuna unachojua. Hakuna sheria inayomtaka mtu yeyote kuomba kibali au kuwataarifu polisi kwaajili ya kufanya vikao vya ndani.Walikua na kibali?
Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Sheria ipi au unaropoka hata usichokijua?Bila shurti
Wewe wasema..!Umeshindwa kuandamana kwa kuongezewa gharama za maisha kwa tozo kubwa za miamala eti uje kuandamana kwa upuuzi wa akina Mwamakula, stupid
Ni ujinga kumtetea samia. Kwani hana taarifa? Kwa nini muendelee kutumia kigezo za marehemu kumtetea aliye hai?kama rpc alitamka kabisa kapewa amri na rais.Siamini kabisa kuwa Raisi Samia yuko nyuma ya hilo ila ni hao Mapolisi ambao bado wanafikiria Mwendazake bado yu hai atawapandisha vyeo
Na Wanasiasa wanapotaka maaskofu waombee nchi huwa wanatumia kigezo gani? Huwezi tenganisha dini na siasa..sababu zote zinatumia wanadamu ambao ni wana dini na wanasiasa.Sasa askofu na mambo ya kudai katiba wapi na wapi? Akamatwe tu, huyo jamaa namuona tangu siku nyingi sana anapenda kukuchamganya kwenye siasa.
Kama wewe huzeeki vibaya nionyeshe walipohutubia kina Mwamakula😅😅😆😆😆Wewe mama unazeeka vibaya. Hakuna unachojua. Hakuna sheria inayomtaka mtu yeyote kuomba kibali au kuwataarifu polisi kwaajili ya kufanya vikao vya ndani.
Huwezi kuomba kibali kwa shughuli ya ndani. Shughuli za ndani za vyama vya siasa haziwahi kuombewa vibali kisheria popote katika hii nchi.Walikua na kibali?
Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Muonyeni huyo askofu wenu.Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.
Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Anatetea hakiMuonyeni huyo askofu wenu.
Kwani na Lwaitama ni askofu?Manyang'au bado yanaendeleza udhalimu
Mungu uwe pamoja na hao maaskofu