Ninachokiona Mimi ni propaganda kali zilizoandaliwa dhidi ya MamaKwa wakati huu kuna nini,na wakati ulipita hapa karibuni kulikuwa na nini,tafakari tu kwa rejea miaka 3 Hadi 6 iliyopita linganisha tofauti na na muda wa hivi karibuni zaidi,zingatia dalili za sasa,matendo na matukio ya wakati uliopita katika muda tajwa linganisha na uje na mtazamo huru.
Mark my wordsHiyo siku haifikagi hapa bongo usijidanganye...
kula beer
Ccm mnategemea virungu vya majeshi yetu kupambana na hoja pingamizi za kisiasa. No pilce no CcmUpo tayari kuhumili vile virungu lakini[emoji23][emoji23]
Watu wapoteze calories zao kwa upuuzi wa nyokwo!!!Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano....
🤣🤣 nacheka Sijui unaongea kiutani au uko serious!Ninachokiona Mimi ni propaganda kali zilizoandaliwa dhidi ya Mama
Halafu kwa vitisho hivyo, wanatamba kuwa ni wanaumeSiku ya maandamano JWTZ wanatangaza wanajitolea kufanya usafi wa mazingira mtaani apo ndo saikolojia ya mtanzania inakimbia[emoji23][emoji23]
Ukifanyia kongamano lako nyumbani kwangu bila taarifa nitakuitia polisi.Vipi kama nikiamua kufanyia kongamano langu nyumbani kwako bila wewe kujua, kwakua tu katiba imeniruhusu?
Katiba imeruhusu ndiyo, lakini lazima vyombo vya ulinzi viwe na taarifa na utaratibu upangwe Ili kongamano lenu lisije kuingilia hali yoyote ile ya kijamii(kiusalama, kimazingira nk)...
I don't have time for incoherent ramblings.Takes time to sink in bro
Huh, Kumbe..!watu wapoteze calories zao kwa upuuzi wa nyokwo!!!
palipo haki kufinywa huwa hayahamasishwi maandamano, yanalipuka.
hao wazee wanazeeka vibaya.
Wamefanya kongamano lao sehemu ambayo polisi wanawajibika kuilinda bila kuwataarifu,hivyo polisi hawakuwa wanawatambua kama jinsi ambavyo wewe hautanitambua nikija kufanya kongamano kwakoUkifanyia kongamano lako nyumbani kwangu bila taarifa nitakuitia polisi.
Kwani hao wanaharakati wamefanyia kongamano lao nyumbani kwa mtu bila kumuarifu?
Unanitafutia ban tu, peleka stress zako mbele huko maana naona unalazimisha mknd wako utafune muwa.Muhuni kama mama yako
Kale kazee kanapenda sana kujipenyeza kila penye agenda ya kisiasa,na kibaya zaidi hakajui kuficha ushabiki wake kwa Ufipa wacha anyooshwe.Huyo Baba Askofu Uchwara ngoja wamnyooshe.
Huwa hajitambui. Ni nyumbu-type.
Jinga kweli ww....Naomba nikusahihishe. Mikutano ya hadhara haijazuiliwa ni kama Alivyowahi sema Magufuli. Kama unamkutano wa hadhara fanyia jimboni kwako.
Kama CHADEMA sehemu ambayo wako huru kufanya mkutano wa hadhara ni Nkasi Kaskazini pekee kwa jimbo. Na kama kuna kata ambazo walishinda wakati wa uchaguzi.
Vinginevyo ni mikutano ya ndani tu.
CCM wanafanya mikutano ya hadhara kwa sababu almost majimbo yote ni yao.
Elevu niaje.?Jinga kweli ww....
Mama akicheka na hawa kima hatafika kokote,Hebu Fikiria mwingine alimwmbia eti atamnyoa.Nadhani mama anaanza sasa kuelewa kwamba JPM hakuwa mbaya bali aina ya nchi aliyorithi ndiyo ilimlazimisha awe tough. Na hiyo ndio siri ya kufanikiwa kwa urais wake.
Usicheke na nyani: sisi raia tunachotaka ni miundo mbinu bora, ni huduma bora za afya, ni kuona pesa ya wavuja jasho inafanya mambo ya maana yatakayobadilisha sura ya nchi.
Dunia haitakuheshimu kwa kuchekacheka na wahuni wanaotumia demokrasia kupenyeza ajenda zao binafsi. Dunia itakuheshimu kwa kuweka malengo na kuyatimiza. Ulaya haikujengwa kwa demokrasia wala nini usidanganyike. Ulaya ilijengwa na wanaume na wanawake wa shoka, ikiwemo hadi ukatili wa kutisha katika kuijenga. Sisemi ili kuijenga Tanzania itabidi ufanye ukatili mama, la hasha, siyo maana yangu hiyo. Ila bila shaka itabidi watu fulani fulani wakuchukie kama kweli unataka kuweka alama kama mtangulizi wako alivyoweka alama isiyofutika vizazi hadi vizazi ndani ya kipindi kifupi. Kama bosi wako walimwita JIWE, basi wewe wakuite CHUMA. Hapo utafanikiwa.