haki gani unayoidai wewe mburula ukiambiwa hebu nitajie haki ambayo huipati sasa unayoidai kama huji hata unachokidai kakojoe ukalale mapemaaaa tuache wanaume tujadiriMbowe yuko Tayari. Nitamuunga mkono.
Na kipindi hicho nilikuwa mjinga kama wewe, sasa nimeelimika. Karibu tudai haki yetu. [emoji58]
Yeah. Ni bora iwe hivyo. Kuliko kupelekwa na mi watu isokuwa na uchungu na nchi yake wala watu wake.Inawezekana katika 50,ukawa peke yako
Ndio maana inatakiwa katiba mpya ili kuondoa huu ujinganani ambae angekuwepo asingewakamata?
Unajadili nini. Umejaa matusi kama umeoza ubongo.haki gani unayoidai wewe mburula ukiambiwa hebu nitajie haki ambayo huipati sasa unayoidai kama huji hata unachokidai kakojoe ukalale mapemaaaa tuache wanaume tujadiri
Anafanya yeyote yule. As long as anatokea chama husika cha jimbo linabelong.Sumbawanga ni jimbo la muenezi shaka????
taja unayoikosaUnajadili nini. Umejaa matusi kama umeoza ubongo.
Haki ziko nyingi ewe zezeta. Usie tumia ubongo katika kufikiri. Umeshikiwa akili.
Tumia akili katika kupambanua mambo. Acha kujipendekeza kwa watawala dhalimu.
Mimi nimejibu kulingana na niliemqoute. Alichokuwa anazungumzia au kulalamikia.Vyama vya siasa havikusajiliwa kufanya siasa kimafungu.nivyama vinatambulika kitaifa na wananchi wapo popote nchini.
Tanzania haina tabia ya uchochezi,ila tukienda kwa mfumo huu ni bora kuishi kama hatuna katiba
Freedom of assemblytaja unayoikosa
Watu hawawezi kuandamana kwasababu za kisiasa. Jifunzeni sehemu zote ambazo maandamano yalishafanyika, unless hizo siasa zihusushe makabila au dini.Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.
Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.
Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Mimba yako ilitungwa baba yako akiwa mlevi! Unamuitaje MTU mbulula nawakati haumfahamu? Kila mtanzania ana haki ya kuheshimiwahaki gani unayoidai wewe mburula ukiambiwa hebu nitajie haki ambayo huipati sasa unayoidai kama huji hata unachokidai kakojoe ukalale mapemaaaa tuache wanaume tujadiri
Wengine endeleni na kejeli muuone uelekeo wa hawa maharamia waonao nchi hii hi yao peke yao.Haya faster, twende Twitter kupush hashtags.
#FreeLwaitama
#FreeMwamakula 🤣🤣
Ndio maana Mungu alithubutu bila bundukiMbona wakati wa magu hawakudhubutu
Kwa hiyo nini kifanyike.Watu hawawezi kuandamana kwasababu za kisiasa. Jifunzeni sehemu zote ambazo maandamano yalishafanyika, unless hizo siasa zihusushe makabila au dini.
Migomo yote inayofanikiwa nchi hii haijawahi kuanzishwa na wanasiasa, mara nyingi ni wananchi wenyewe. Mifano ni Wavuvi, madaktari, wafanyabiashara, madereva wa daladala n.k.
Na wenzio walioguswa.Kwa hiyo nini kifanyike.
Niende pekee anga Barabarani.?
We ni mburula tu maana unachokitetea wala hukijui nyambafuMimba yako ilitungwa baba yako akiwa mlevi! Unamuitaje MTU mbulula nawakati haumfahamu? Kila mtanzania ana haki ya kuheshimiwa
Taarifa ya polisi ni kwa minajili ya kupewa ulinzi wa polisi.
Kama huna haja ya ulinzi wa polisi, hususan kama hutumii public grounds, hata taarifa ya polisi si lazima.
Ila, kibongobongo hiyo taarifa ya polisi ndiyo imefanywa kama kuomba kibali cha polisi. Kitu ambacho kisheria hakipo na kinaondoa haki ya kikatiba.
siyo rahisi watanzania wana akili ni wachache tu ndiyo mnamatatizo ambayo tutawazibiti tuHili tukio la watu kuzuiliwa kujadili Katiba Isije ikawa ni mwanzo wa watu kuingia barabarani kukinukisha kama kule South Afrika