Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Si juzi tu wamewaambia EU wanasimamia domokazia!
 
Huwa mnaandamia tweeter
 
Hii nchi iko siku itaweka historia nyingine.kuna muda utafika watu wataandamana kwa namna nyingine mbaya zaidi.Na kadri siku zinavyoenda ndivyo ambavyo tuko karibu.
 
Hii nchi iko siku itaweka historia nyingine.kuna muda utafika watu wataandamana kwa namna nyingine mbaya zaidi.Na kadri siku zinavyoenda ndivyo ambavyo tuko karibu.
Waambie waongeze juuhudi za kuandaa kuni za kuwasha moto.
 
Walikua na kibali?

Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Hicho kinachoitwa kibali ndio mbinu ya wakoloni kuongoza bila waradhaa ya raia.
Hii janja ya nyani tushaishtukia
 
Hapana kwa dar mtatusamehe kambi za wajeda ni nyingi yaani mtatukuta vilema robo tatu nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…