Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Anza sasa kukinukisha utaungwa mkono, watu wanasubili wa kuanzisha, sasa anza ili watu wafuatie.
Ukiona vigumu kuanza ujue na mwenzako nae anaona vigumu kuanza.
 
Ndugu, Siasa ni maisha, huoni hao wabunge wa mataga wanavyojipitishia sheria za hovyohovyo sasa hivi ?, makato ya huduma za simu wewe unafurahia tu sio ?
Utakuta nao wamo humu kulalamikia uhuni unaoendelea,kwani ni watumwa wa kakikundi fulani.
 
Hii nchi ina udhalimu mkubwa sana, naamini itafika mwisho wake, itafika hatua watanzania watachoka kwa kila kitu kinachoendelea katika nchi hii
Hiyo siku haifikagi hapa bongo usijidanganye...
kula beer
 
Anza sasa kukinukisha utaungwa mkono, watu wanasubili wa kuanzisha, sasa anza ili watu wafuatie.
Ukiona vigumu kuanza ujue na mwenzako nae anaona vigumu kuanza.
Embu subiri, baada ya muda ndani ya miezi sita. Mambo yakiendelea hivi hata pekee yangu niko tayari kuanza.
 
Embu subiri, baada ya muda ndani ya miezi sita. Mambo yakiendelea hivi hata pekee yangu niko tayari kuanza.
Tunasubili kukuona, ila umesogeza miezi mbali sana nadhani utakua umesahau.
😁😁😁😁
 

kumbe walizuiwa kwa kuwa hawakutoa taarifa hao ni wahalifu tu kama wahalifu wengine wakae ndani mpaka jumatatu watoke na mimba
 
Wanini uraiani hao wapuuzi,badala waiombee amani wao wanahimiza fujo.
Weka ndani kesi ya uhujumu uchumi tuwasahau kidogo,pumbavu sana
 
Tii sheria ya mamako ambayo haitoi haki sawa kwa wanafamilia? Tutaanza kumwombea kifo na huyu. Mungu wetu anasikiliza maombi.

Mmeanza kumgeuka tena na mama jamaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hamna ubavu huo, hivi, umefatilia habari za South Africa karibuni? Wamesimamisha kila kitu kwa mda! Lakini serikali ilipo amua kweli, kiko wapi? Sembuse nyinyi ambao mko wachache, mtaweza? Mtapigwa kama mbwa koko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…