Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

Kodi inalipwa halmashauri au TRA?
 
Tatizo ni bandari🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanachokitaka watakipata. Mtu akishashiba madaraka ,Ila na sie tunakuwa hakuna tofauti na nyumbu ,yaani nyumbu wapo 100000 Ila chuu watano wanaua mwenzake na wao ipo imesimama inaangalia hata haifanyi kazi ama juhudi ya kumuokoa mwenzako.
Unamcheka nyumbu Ila huna tofauti naye
 
Saloon ya Mama kimbooo ohhh, kuvungia biashara , kupeana uhaini vyoote utavipata

Zipo saloon kibao mi najuwaaa lakini saloon ya Mama kimbooo mwenzenu inanikosha
 
Tatizo ni lile bango la kielectronic lililoandikwa "TUACHIE BANDARI YETU"
Hiv kwanini viongozi hawapendi kuambiwa ukweli , hawajui kuwa wanatengeneza kizazi ambacho madhara yake mbeleni itakuwa ni mabaya?
 
noted, akalipe kodi za serikali
 
ujumbe wa okoa bandari zetu, akalipe kodi ya serikali na afute kauli ya kuomba radhi kuhusu lile bango
 
Daah nchi hii ishakuwa ya hovyo sana! Huyu mama Samia na serkali yake ovyo kabisa!
u-ovyo uko wapi, halafu si kila kitu umhusishe rais, kila sekta ina viongozi wake ambao wako huru kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria, Rais anaingia wapi hapo, mbona una chuki za kipumbavu na rais wetu? Mtu hajalipa kodi we ulitakaje. Mamako ndiyo wa hovyo kuzaa mtu wa hovyo km wewe
 
Hii serkali ni wanafiki sana! Hawataki kukosolewa na mtu wakijua sio kada lazima upate tabu sana! Mara wanajidai hakuna kudunga biashara unafiki mkubwa sana!
nyie mna udumavu wa akili, kwa hiyo siku hizi ukifanya kosa usishughulikiwe kwa kujificha ktk kukosoa serikali. Hii nchi mnataka kuipeleka wapi. Tena naomba rais asicheke na kima km nyie. Mtu hajalipa kodi bado unakimbilia kuilaumu serikali badala ya kuipongeza? Shameful.
 
Acha ujinga hapendi kusikia nini? Bariadi kuna kijana yuko jela kwa kumkosoa pia chato kuna jamaa mwimbaji wa nyimbo za asili yuko jela kwa kumkosoa! Slaa,Mwambukusi,Mdude na Leo Cask Bar ameifunga! Unafiki na roho mbaya sana nyie CCM!
we kweli ni mbwa, mamako angetukanwa vile ungewasifu watukanaji? Sasa yule ni mama na mkuu wa nchi kwa hiyo akiruhusu uhuru wa kutoa maoni ndio mkamtukane, pumbavu kabisa mtashika adabu tu
 
we poyoyo tumia akili epuka kutumia makalio kufikiri. Mtu halipi kodi unasema tena serikali haipotezi mapato, unajitambua kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…