saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
suala siyo bora mama. Huyu rais kiwango chake cha uongozi kipo juu sana zaidi ya mara 10 ya marais waliopita, amefanya mambo makubwa sana ktk muda mfupi na ana mipango mikubwa sana ya maendeleo na nchi hii, sisi tunamwombea atimize mipango yake. Wenye wivu na husda kamwe hawatafanikiwa, kimsingi wameshashindwaHamueleweki
Kuna wakati mnasema bora mama, Mara bora nanihii
So mko upande gani? Au ni ilipo pesa?
Wote walikuwa vyombo hahah [emoji38]Lile bango la Bandari nilijua tu litaleta kimavi.
Kivipi Tena mkuuChadema wamemponza ndg Joe Makanyaga
Jambo lenyewe la bandari lilikuwa lilishaanza kufifia kabisa yaani wanalipa airtime za ajabu. Yaani hii kitu kila mtu atajua kuna nini. Ni sawa na kutoa tamko la kupinga ushoga ukiwa kanisani au msikitini.Huyu Mama sio tumbua tumbua ovyo!, utasubiri sana!. Sasa tuko kwenye era ya reasoning and logic!
P
Ni hili swaga lote Ni la rc makala jamaa anajikomba Sana kwenye utawala huu Ila ajabu kipindi Cha jiwe hakujikomna kbsaaMkurugenzi wa Ilemela amejitoa kafara kwa kukiuka maelekezo ya Rais kwamba biashara zisifungwe; huyu mkurugenzi ni moja ya watu wanaoishi katika utawala uliopita. Kukiuka kauli ya mwenye nchi ni dharau na natabiri soon anatumbuliwa.
Kelele na agenda za kelele zimekuwa nyingi na zote zina economic impact ndani na nje. Kufunga biashara moja over night ni tishio kubwa kwa uhakika wa mitaji na usalama wa biashara za wageni. Wageni wataanza kuweka fedha kwenye mifuko wavuke nazo mipaka huku Watanzania wakiweka pesa nyumbani kukwepa kuonekana akaunti inenuna ukafungiwa business
Hii Cask Bar inakwenda kuondoka na RC, DC na Mkurugenzi only if siyo msimamo wa serikali.
Adhabu yake ni nini kisheria?Kukwepa kodi ni kosa
Kwa njia ya sanduku la kura haiwezekani na haitawezekanaCCM na watu wake nfumo wake vimepitwa na wakati, ndugu mwananchi chukua hatua kuondoa hiki chama chakavu na ujinga wake wote.
Mwenyee bar nae Hana akili na manager wake Ni wapuuzi sna HV mambo ya biashra na mamb ya bandari wapi na wapi [emoji41]Tatizo ni lile bango la kielectronic lililoandikwa "TUACHIE BANDARI YETU"
Hiv kwanini viongozi hawapendi kuambiwa ukweli , hawajui kuwa wanatengeneza kizazi ambacho madhara yake mbeleni itakuwa ni mabaya?
Faini au kifungo, au vyote viwiliAdhabu yake ni nini kisheria?
Hicho kifungo, ni kufunga biashara isiendelee au kumfunga jela mwenye biashara!?Faini au kifungo, au vyote viwili
Mnafungwa wote.Biashara na mwenye biashara ili ukitoka usiseme mgambo wa jiji walikwiba bidhaa zako.Don't take it too serious,boss!🤔Hicho kifungo, ni kufunga biashara idiendelee au kumfunga jela mwenye biashara!?
Hizo ni hatua za awali ili aweze kulipaHicho kifungo, ni kufunga biashara idiendelee au kumfunga jela mwenye biashara!?
Sheria inataka hivyo!?? Umeona tangazo la TRA kukana kuhusika kwao?Hizo ni hatua za awali ili aweze kulipa