digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Unaota kutoka kijiji Gani!? Niko Kanda ya ziwa ,mita 200 toka ziwani sato na sangara hawakamatiki bei kubwa sana tofauti na udhaniavyoSafi sana sasa dagaa na samaki sato zishuke bei maana zipite kwa urahisi hapo ziwahi kufika dar.
Yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo cha msingi daraja limejengwaKwamiaka ccm iliyakaa madarakani hilo daraja lilitakiwa liwelimejengwa mika 20 iliyo pita
Mbona hujasema Nape na January na wafuasi wao wasitumie umeme wa bwawa la Nyerere??Achana na wahuni hao
Wanawaza kupiga tu
Kwa sababu gani samaki Mwanza ni bei ghali sawa na Iringa?Mkuu Unaota kutoka kijiji Gani!? Niko Kanda ya ziwa ,mita 200 toka ziwani sato na sangara hawakamatiki bei kubwa sana tofauti na udhaniavyo
Nenda Chato ukaone ilivyokuwa kama Gbadolite ya Mobutu SesesekoMbona hujasema Nape na January na wafuasi wao wasitumie umeme wa bwawa la Nyerere??
Mbona imeandikwa kama tayari linatumika.Na mimi nitakuwa wa kwanza kulitumia.
Ni kweli Chato kuna taa za kuongoza magari barabarani?Nenda Chato ukaone ilivyokuwa kama Gbadolite ya Mobutu Seseseko
Si mlisema yatabaki magofu kama Gbadolite? Taa zipo ila haziwaki.Ni kweli Chato kuna taa za kuongoza magari barabarani?
😁😁😁Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili.
Wameadimika sanaKwa sababu gani samaki Mwanza ni bei ghali sawa na Iringa?
Mindset- mtizamo nafsi, unaweza ukawa hasi ama chanyaTutolee hapa kiingereza ukoko
Hawalipi kodi iliyotumika kujenga hilo daraja?Sera ya Chadema wanapinga maendeleo ya vitu kama madaraja,shule hospitali,reli nk ndio maana nasema kuwasikiliza CHADEMA unahitaji kuwa mwendawazimu kwanza
Hawana maana yeyote
Wapongezeni waliolipa kodi ili daraja likamilikeMpongezeni na aliyehakikisha miradi hiyo inakamilika.
Yesu....🙆♂️"Tangia mwaka 1961 mpaka 2021 maraisi waliopita yaani watano walikopa takrikani 60Trilioni means ni wastani wa 1 trilioni kila mwaka walikopa ,ila Bibi Kizimkazi na hapa ipo ndani ya miaka mitatu amekopa 30 Trilioni wastani wa 10 Trilioni kila mwaka ,tukimpa miaka mitano au kumi ni kama alivyosema ndugai hii nchi itapigwa mnada" - Twaha Mwaipaya
Sasa kwa nini wapinge kodi kutumika kujenga hilo daraja hao Chadema kama sio upunguani na utaahira wa akili ni nini?Hawalipi kodi iliyotumika kujenga hilo daraja?