Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

?Kwanini wasilitumie na limeshajengwa?

Kwani Mgufuli alijenga kwa [pesa zake mfukoni?

Vyama vya siasa ni lazima vishindane kisiasa, kila mmoja anajimwambafai kwa wananchi ili wampe ulaji.
 
Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani JPM. Kazi ya muda mfupi, yenye mikiki mikiki mingi, kupindua meza na kuweka alama nyingine ambazo hazitafutika milele.
Bila uthubutu wake, kuna mambo mengine yasingeanza hata mara moja
 
Hapa ndo umejibu swali langu? Nalirudia, hawalipi kodi iliyotumika kujenga hilo daraja?
 
Wapi walipinga ? Weka ushahidi, siyo mpuuzi mmoja akianzisha mada hata ya kipumbavu wote mnakimbilia kusapoti ujinga wake kwa vile tu ni chawa mwenzenu.
 
Bila past, present haiwezi kuwa na nguvu ni kama uongo na ukweli vitu 2 hivyo vinategemeana.
 
?Kwanini wasilitumie na limeshajengwa?

Kwani Mgufuli alijenga kwa [pesa zake mfukoni?

Vyama vya siasa ni lazima vishindane kisiasa, kila mmoja anjimwambafai kwa wananchi ili wampe ulaji.
Hana akili ya kutosha kujibu swali lako, akili yake ni ya kidhalim tu kama ya huyo anayempigia debe hapa.
 
Tunahitaji maendeleo ya watu sio ya vitu..

Hii kauli bila shaka ilitolewa na Lissu

Hawa wa humu usiwalaumu, ni nyumbu wafuata upepo

Leo Lissu akibadili kauli nao watafuata

Jifunze kumhusu NYUMBU utawaelewa vijana wa Chadema.
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
 
Safi sana sasa dagaa na samaki sato zishuke bei maana zipite kwa urahisi hapo ziwahi kufika Dar.
Inaonekana hujawshi kufika mkoa wa mwanza na kanda ya ziwa yote. hili daraja halina uhusiano wowote na usafirishaji wa samaki coz ziwa lipo hapo hapo mwanza mjini na daraja lipo nje ya mji. Na kutoka mwanza kuja dar hupiti kwenye hilo daraja
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Kwamba wewe ni mwerevu sio?

Chama kimejaa vijana wavuta bangi, wazee waliotoswa ccm na wanasiasa wasanii sanii...

Sitegemei hoja na mawazo ya kujenga kutoka chama hicho...

Ndio maana mliposema mnahitaji maendeleo ya watu na sio madaraja na barabara kila mtu aliwadharau.
 
Kwamba wewe ni mwerevu sio?

Chama kimejaa vijana wavuta bangi, wazee waliotoswa ccm na wanasiasa wasanii sanii...

Sitegemei hoja na mawazo ya kujenga kutoka chama hicho.
Wewe kwa hii thread yako unaonyesha huna akili hata kidogo. Kwa vile makaburu waliwatesa sana watu weusi na siasa ya ubaguzi ililaaniwa na kila mtu ulitaka baada ya Uhuru wa SA wale wazalendo wasusie kila kilichofanywa na makaburu?
 
Irrelevant...

Kwahiyo kwenu Magufuli alikua kaburu sio?

Vipi sasa hivi mko huru?
 
Inaonekana hujawshi kufika mkoa wa mwanza na kanda ya ziwa yote. hili daraja halina uhusiano wowote na usafirishaji wa samaki coz ziwa lipo hapo hapo mwanza mjini na daraja lipo nje ya mji. Na kutoka mwanza kuja dar hupiti kwenye hilo daraja
Huelewi unaongea nini wewe hilo daraja kiungo muhimu mno Afrika mashariki kwa wa magari ya Uganda,Rwanda ,Burundi ,kongo na Kenya na Tanzania

Hilo daraja ni International bridge sio local bridge hilo nenda hapo darajani uone namba za magari zinapita hapo na namba zao za nchi gani ni International bridge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…