Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Yeye ndie awape madaktari hizo ripoti za wehu wake kuthibitisha yeye mwehu so far polisi wamchukulie ni mzima hadi yeye athibitishe
Naamini wakili wake atapeleka thread zake za humu JF kama utetezi wake mahakamani nadhani hakimu akizisoma atatoa amri apelekwe milembe mara moja akapatiwe matibabu kwa hiyo hakuna haja ya kupoteza resources na muda kwa huyu jamaa!
 
Kisandu ni kama amechanganyikiwa. Huku JF tunalindwa na sheria ndo maana tunajimwaga! Kule Facebook kwa huu udikteta tunavuta break kwanza!

Ila hatuandiki uhuni kama wa Kisandu. Kusema uliingiliwa kinyume na maumbile ila jamaa hakumaliza na eti ukaendelea kulala naye kitanda kimoja ni uchizi wa aina yake!
 

Sawa kabisa,, kwanza apelekwe milembe na report yake iwekwe adharani,,,ameandika matusi mazito sana, nashauri afungwe kwa usalama wake,, huku nje tumepata fununu kuna watu wanamvizia akiachiwa wamnyonye mate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…