gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
Naamini wakili wake atapeleka thread zake za humu JF kama utetezi wake mahakamani nadhani hakimu akizisoma atatoa amri apelekwe milembe mara moja akapatiwe matibabu kwa hiyo hakuna haja ya kupoteza resources na muda kwa huyu jamaa!Yeye ndie awape madaktari hizo ripoti za wehu wake kuthibitisha yeye mwehu so far polisi wamchukulie ni mzima hadi yeye athibitishe