ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Meli kibao na vivuko vinaendelea na ujenziAir port
High way ya airport
Daraja
Meli kubwa 2
Stend ya nyegezi
Stend ya nyamongolo
Soko kuu
Sasa ka highway kamoja tuu(Samia anapiga mradi wa Tactic zaidi ya km 20)
Soko kinaendelea na ujenzi
Airport inaendelea na Ujenzi
Majengo makubwa eg TBA yanaendelea na Ujenzi
Sgr na Daraja Ujenzi unaendelea
Matawi ya vyuo Vikuu eg Ardhi ujenzi unaendelea
Kama vyote hivyo vinaendelea yet hakuna mzunguko wa pesa basi ujue kusema miradi ndio ilileta mzunguko wa pesa ni uongo maana hiyo miradi Ina impacts kidogo Kwa wafanyabiashara wa Mwanza Kwa sababu Mingi ni ya Wakandarasi ambao vifaa wanaagiza mbali na Mwanza.