Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

Ukweli ni kwamba trend ya mabadiliko ambayo watu wanaotaka Kwa mikoani haiwezi tokea kama huko Dar Kwa sababu ya nature ya uwekezaji wa Serikali mikoani.

Mfano haiwezekani Jiji Moja tuu la Dar linapata pesa za miundombinu tuu zaidi ya 2T wakati mikoani haifiki hata Bil.100.

Kwa Hali kama hii hayo mabadiliko ya kuchagiza uchumi yatatoka wapi?

Ndio maana mara zote nalilia kikokotoo kipya Cha mgao wa keki ya Taifa na mbaya zaidi pesa zetu zinajenga Miji michache ya Dar,Dom na Arusha tuu.

Hii inauma sana.Hai make sense GDP ya Mikoa ya Mwanza na Mbeya second and third inatumika kujenga huko kwingine na kuacha sisi tunachekwa yaani.cc Kitombile Mikdde
Haya madini ndio huwa nayataka, pia umesahu uchumi wa nchi wameucentaralize Dar, kila muhamala kodi inahesabiwa dar, Dar wanapata mradi wa zaidi ya 2T kwa mwaka majiji mengine kwa pamoja hayafikishi miradi hata ya bilion 100, leo mtu anakuja kulinganisha kasi ya ukuaji wa Mwanza na dar haimake sense, keki ikatwe fair tuanze kuona ukuaji wa majiji yetu kama yalivyo majiji ya kenya.
 
Ukweli ni kwamba trend ya mabadiliko ambayo watu wanaotaka Kwa mikoani haiwezi tokea kama huko Dar Kwa sababu ya nature ya uwekezaji wa Serikali mikoani.

Mfano haiwezekani Jiji Moja tuu la Dar linapata pesa za miundombinu tuu zaidi ya 2T wakati mikoani haifiki hata Bil.100.

Kwa Hali kama hii hayo mabadiliko ya kuchagiza uchumi yatatoka wapi?

Ndio maana mara zote nalilia kikokotoo kipya Cha mgao wa keki ya Taifa na mbaya zaidi pesa zetu zinajenga Miji michache ya Dar,Dom na Arusha tuu.

Hii inauma sana.Hai make sense GDP ya Mikoa ya Mwanza na Mbeya second and third inatumika kujenga huko kwingine na kuacha sisi tunachekwa yaani.cc Kitombile Mikdde
Mwanza na mbeya miradi mnayopaswa kupewa na matundu ya vyoo, zahanati na madarasa na barabara za changarawe

Barabara za lami, flyovers, conference centres, interchange, outering roads na inner ring, viwanja na arena na vyuo vikubwa vinapaswa kupelekwa Dar, Dodoma na Arusha nyie wengine muamie burundi.
 
Kama huelew miradi ina impact gan sehm husika kipind cha mzee baba rudi darasan kasomee uchumi, air tanzania ilikuwa inabeba samaki na nyama ya mbuzi frm mwanza na kwa sababu air port ilitanuliwa na wagen wng wakanza kuingia na ajira zikawepo, idad ya watu waliopo kweny ujenz wa kusua sua wa mirad yote utacheka mfn soko lina wafanyakz wa 5 now ndio linao jenga tena bila malipo ya cash yaani mkopo, daraja ndio kabisa vichekesho, atleaat sgr lkn meli ndio wameenda kulala tena wanasubr uchagz ndio waifunguwe
Nchi ngumu sana, airpot ya mwanza isubiri kwanza tupo bize kuvunja na kujenga terminal II, soko la mwanza lisubiri kwanza kariakoo ifanye kazi, daraja lisubiti BRT phase iv ikamilike.
 
Fafanua hii miradi ilikuwa inaisadia nini au wafanyabiashara walifaidika nayo kivipi? Na iliinua Mwanza kivipi?

Mkuu mbona ni simple economic analysis,mkandalasi akilipwa pesa atanunua materials atalipa wafanyakazi,wafanyakazi watalipa mama ntilie and the cycle goes on and on.
 
Binafsi mwaka 2012 nilikuwa naishi maeneo ya nyegezi malimbe,juzi nilienda tena nikitegemea kumebadilika nilipakuta vilevile nilishangaa sana

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Malimbe hapawezi kubadilika kule maana uwekezaji wa maana unaofanyika ni Hostels nazo zinategemea zaidi wanafunzi wa SAUT.

Malimbe, Luchelele na Sweya sitarajii mabadiliko yoyote makubwa ndani ya miaka (10-20) ijayo.
 
Kwani kule ni hostel tu,we unaijua malimbe kweli?alafu sikuwa mwanafunzi wa kolo

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Ulitaka ukute nyumba za zamani zimebomolewa na kujengwa mpya au maghorofa huko malimbe? Jiji la Mwanza lilishaendelea na lilishajaa toka ukiwa kiunoni mwa baba ako.kinachofanyika inaexpand kwenda Magu na Misungwi.
 
Back
Top Bottom