Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

Mbona Mbeya coaster ndio zinalipa kushinda hivyo vi hiace?

Imagine Igawilo/Nsalaga-Mbalizi
Wewe sasa nadhani unataka kutuletea uongo kwa kudhani unatembea pekeyako Tz hii.

Katika mkoa uliokaa kijinga sana kwenye swala la usafirishaji wa abiria ni Mbeya, mji umejaa bajaji na bodaboda hadi kero.
 
Mwanza hata ukisimamisha chupa kati kati ya barabara ukarudi baada ya miaka 20 utaikuta ipo palepale watu wamezubaa mji haubadiliki

[emoji28][emoji28] mkuu acha chuki binafsi
 
Zinapaki wap? Au zinazoenda kayenze 😂 tena zimechoka balaa kama tanganyika bus!

Alafu nimesikia tanganyika wameiuza mwa 15B bana kuna mtu amejitolea kujenga mall pembeni ya soko itakuwa poa sana
 
Umesema nilichokishangaa hata mimi
Yan nimezaliwa mwanza nkaondoka toka 2009 nipo dogo kabsa nikarudi tena safari ya kikazi 2022 nkakuta bado pako the same vilevile mpka nkamuuliza sister angu huku wamerogwa au
Yaani mji uko dull miaka na miaka. Watu wanaongea kisukuma kila sehemu halafu eti nalo ni jiji.
 
Mleta mada ni mtoa porojo asiye na hoja .. mabadiliko yapi uliyataka mwanza Toka mwaka 2010 Hadi Leo miaka 13 unataka kusema Mwanza haijabadilika STUPID...
mwaka ule wakati jiji linakomea mkolani,, buhongwa ni kijijini Leo jiji lipo Usagara na kisesa unasema haijabadilika..
Ujenzi wa rock city mall
Furahisha bridge
Mabatini bridge
Stendi za kisasa
Viwanda nyamhongolo
Viwanda buhongwa
Buswelu kuwa center ya manispaa
Lami Hadi ilalila
Buzuruga plaza
TFDA buzuruga
Kukua Kwa center suburban kama nyegezi, Ghana, buzuruga na buhongwa..
Vingine vingi huko kubadilika kupi unataka
HIVI VYOTE 2010 havikuepo
JamiiForums-1844432291.jpg
JamiiForums1408270621.jpg
Screenshot_20221017-234440_YouTube.jpg
JamiiForums-156269090.jpg
JamiiForums-1370329704.jpg
JamiiForums-1351773496.jpg
JamiiForums1455319007.jpg
JamiiForums-1159811569.jpg
IMG-20221106-WA0028.jpg
IMG-20231015-WA0015.jpg
IMG-20231009-WA0010.jpg
IMG-20231009-WA0007.jpg
IMG-20231002-WA0005.jpg
IMG-20230925-WA0003.jpg
IMG-20230911-WA0007.jpg
 
Ulitegemea baada ya miaka 10 milima iwe imehama mjini?
Soma uelewe kabla ya kuandika. Milimani kule hata miundombinu ya barabara hakuna, nyumba substandard katika mazingira hatarishi.
 
Back
Top Bottom