Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeshangaa mwenyeji wa Sumbawanga usingetia neno hapa.Lakini Sumbawanga yenyewe sasa ilivyo [emoji3][emoji3][emoji3]Mwanza ni big slum [emoji23]View attachment 2795786
Utaonaje mzunguko wa pesa na wewe biashara yako kuu ni ya kuuza matobolwa na bahati mbaya sana kwa Mwanza matobolwa kila mtu ana stock ya kutosha nyumbani kwake.Fanya biashara ya kueleweka uone kama hakuna mzunguko wa pesaNa kwa habar za ndani zaidi uchumi wa mwanza umeporomoka sana tangu mwenda zake afukiwe! Yaani hakuna mzunguko wwt wa pesa kwa muda wa 2years now ni kama dead city now
Bora hapo hata mitaa imepangika,vipi kuhusu hapa jijini dsm.
View attachment 2795815
Mpaka leo katikati ya jiji kuna vi-hiace.
Kama miradi gani hiyo mikubwa ambayo haifanyiki Sasa hivi 😁😁😁😁Mkuu mzee alisaidia sana mzunguko na uchumi wa mwanza kuwa juu haswa kwa miradi yake, kwa kipindi cha miaka 6 mwanza iliinuka sana kiuchumi haswa mzunguko wa fedha, mirad mikubwa ilifanyikia kanda hii na pembezon mwa ziwa so matumiz yalikuwa mwanza kwa ukanda wote so nachokiandika nimekiona na nimekiishi so acha kutukana watu, binafsi na declaire interest kwamba mzee alisaidia uchum wangu kukua mara dufu… now mwnz n kama dead city mzunguko uko chini sana
UONGO MTUPU,HAYA NI MAWAZO YAKO MFUMkuu mzee alisaidia sana mzunguko na uchumi wa mwanza kuwa juu haswa kwa miradi yake, kwa kipindi cha miaka 6 mwanza iliinuka sana kiuchumi haswa mzunguko wa fedha, mirad mikubwa ilifanyikia kanda hii na pembezon mwa ziwa so matumiz yalikuwa mwanza kwa ukanda wote so nachokiandika nimekiona na nimekiishi so acha kutukana watu, binafsi na declaire interest kwamba mzee alisaidia uchum wangu kukua mara dufu… now mwnz n kama dead city mzunguko uko chini sana
Fafanua hii miradi ilikuwa inaisadia nini au wafanyabiashara walifaidika nayo kivipi? Na iliinua Mwanza kivipi?Air port
High way ya airport
Daraja
Meli kubwa 2
Stend ya nyegezi
Stend ya nyamongolo
Soko kuu
Si mliwakataa wawekezaji nyie?Nyumba za milimani haziwezi kubadilika labda mpaka huo mradi wa wawekezaji wa Brazil ufike. Pia maeneo uliyoyataja yote ni makazi ya zamani hatutegemei yabadilike maana wamiliki ni either wastaafu au marehemu.
Ukitaka kuona mabadiliko mkoa wa Mwanza nenda mji unako expand kama Ilemela wilayani, Ilemela ya Malaika, Kiseke , Buhongwa majengo mapya, usagara, Fela, nk. Kiukweli Mwanza imeendelea sana hasa kipindi cha mwendazake. Imeipita mikoa mingine mingi tu
2010 mpaka leo mza haijabadirika? una chuki binafsi.. the cask ilikuwepo?Mwaka 2010 nilikaa mwanza kwa mwezi mmoja nikifanya kazi pale TPA. Niliwahi kuja mara kadhaa kwenye mikutano ya siku moja moja hivyo sikuwa nazunguka sana.
Sasa nimeingia jana napita mjini pako vilevile, nyakato, miti mirefu, nyegezi, kirumba, capripoint, airport hamna chochote kipya. Gold crest ipo vilevile.
Ina maana miaka yote hii hakuna maendeleo yoyote mji huu? Rock city mall ipo kama vi-mall vya kawaida kule nyerere road Dar es Salaam.
Nyumba bado zinachungulia milimani kusikokuwa na miundombinu ya barabara.
View attachment 2795776
Ujenzi wa soko ndio unaleta pesa Mwanza? Mwanza mtaendelea kupauka hivyo hivyoMfn soko kuu la mwanza rwagasole limesimama na njia kuu imefungwa ikapelekea masoko na maduka kugawanywa na pasionekane sehem ya biashara na soko limekuwa kiungo muhimu kwa watu wa mwanza kwa wafanyabiashara lkn mpaka sasa hv hali n tete na ujenzi wake uko slow sana
Swax Haina uswazi na ushuzi kama Mwanza 😁😁Ningeshangaa mwenyeji wa Sumbawanga usingetia neno hapa.Lakini Sumbawanga yenyewe sasa ilivyo [emoji3][emoji3][emoji3]
🔨🔨🔨🔨Kuleta hoja bila figure ni porojo na chuki binafsi.......
Eleza vya maana vya huyo Mzee baba yakoIpo slow sana now tofaut kabisa alivyokuwepo mzee baba
Haka kajamaa kanajiona kana akili Sana kumbe zombi , alikuwa na sababu gani ya kukuita mjinga.Mkuu mzee alisaidia sana mzunguko na uchumi wa mwanza kuwa juu haswa kwa miradi yake, kwa kipindi cha miaka 6 mwanza iliinuka sana kiuchumi haswa mzunguko wa fedha, mirad mikubwa ilifanyikia kanda hii na pembezon mwa ziwa so matumiz yalikuwa mwanza kwa ukanda wote so nachokiandika nimekiona na nimekiishi so acha kutukana watu, binafsi na declaire interest kwamba mzee alisaidia uchum wangu kukua mara dufu… now mwnz n kama dead city mzunguko uko chini sana