ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Meli kibao na vivuko vinaendelea na ujenziAir port
High way ya airport
Daraja
Meli kubwa 2
Stend ya nyegezi
Stend ya nyamongolo
Soko kuu
Tatizo ni ubishi wa watuBora hapo hata mitaa imepangika,vipi kuhusu hapa jijini dsm.
View attachment 2795815
Mji ukishajengwa uswazi na wenye hela kuchanganyika humo humo na huna planning hauwezi kuwa mzuri Mzee acha kujifariji 😂😂Sema umefika kwenu bado hovyo peleka hela pakajengwe kumbuka kuna stendi mbili kali mpya za juzi kati tu hapa ,kuna daraja kubwa linaleta madhari nzuri inaleta picha fulani ya mji kuwa safi.
Zile vipanya buku ndio kila kona vipo isipokuwa Dar tu.
Hata Durban south africa slums zipo,new york,nairobi kibera etcBora hapo hata mitaa imepangika,vipi kuhusu hapa jijini dsm.
View attachment 2795815
Sasa we unaishi huko kwny hostel za wanafunzi,ukitaka zibadilikaje?Binafsi mwaka 2012 nilikuwa naishi maeneo ya nyegezi malimbe,juzi nilienda tena nikitegemea kumebadilika nilipakuta vilevile nilishangaa sana
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Mbona hiyo picha siyo slum?Mwanza ni big slum 😂View attachment 2795786
Dar vipanya vipo vingi tu pale KigamboniSema umefika kwenu bado hovyo peleka hela pakajengwe kumbuka kuna stendi mbili kali mpya za juzi kati tu hapa ,kuna daraja kubwa linaleta madhari nzuri inaleta picha fulani ya mji kuwa safi.
Zile vipanya buku ndio kila kona vipo isipokuwa Dar tu.
Mwaka 2010 nilikaa mwanza kwa mwezi mmoja nikifanya kazi pale TPA. Niliwahi kuja mara kadhaa kwenye mikutano ya siku moja moja hivyo sikuwa nazunguka sana.
Sasa nimeingia jana napita mjini pako vilevile, nyakato, miti mirefu, nyegezi, kirumba, capripoint, airport hamna chochote kipya. Gold crest ipo vilevile.
Ina maana miaka yote hii hakuna maendeleo yoyote mji huu? Rock city mall ipo kama vi-mall vya kawaida kule nyerere road Dar es Salaam.
Nyumba bado zinachungulia milimani kusikokuwa na miundombinu ya barabara.
View attachment 2795776
Ukweli ni kwamba trend ya mabadiliko ambayo watu wanaotaka Kwa mikoani haiwezi tokea kama huko Dar Kwa sababu ya nature ya uwekezaji wa Serikali mikoani.Nadhani watu wanatamani kuona maghorofa na business centres kubwa. Kwa hilo ni kweli, Mwanza ina mabadiliko madogo sana
Ila kama kimakazi mwanza inaendelea haswa zile business centre zilizo ndani ndani. Mfano ukiingia national, buswelu hafi airport kule kunashtusha hasa baada ya ile barabara kumalizika,
Hata kule nyamongoro hadi kisesa na utoke na ile barabara mpya hadi busisi, naona napo panaendelea, buhongwa pia
Kwa hiyo built up areas zinaenda kwa kasi Ila kibiashara sidhani ipo kasi na hii ni kutokana na kuitoa geita ndani ya mwanza huku mji kama kahana ukiongeza influence yake hadi centres za zamani kama mwanza na shinyanga, zinaenda slow mnoo
Kama Mwanza haijaendelea ni wapi huko palipoendelea kuzidi Mwanza?Umesema nilichokishangaa hata mimi
Yan nimezaliwa mwanza nkaondoka toka 2009 nipo dogo kabsa nikarudi tena safari ya kikazi 2022 nkakuta bado pako the same vilevile mpka nkamuuliza sister angu huku wamerogwa au
Motobolwa ndio nini?Utaonaje mzunguko wa pesa na wewe biashara yako kuu ni ya kuuza matobolwa na bahati mbaya sana kwa Mwanza matobolwa kila mtu ana stock ya kutosha nyumbani kwake.Fanya biashara ya kueleweka uone kama hakuna mzunguko wa pesa
Etii eeh na wewe kauze nondo bas kama mwanza huduma upate mzunguko, au matank kama zongiii yopa ukajenge gorofa, ongea kama mtu mwenye akil timamu, rwagasole na ribety ndio kitovu cha uchuuzaji mwanza sio unaropoka kama huna akiliUtaonaje mzunguko wa pesa na wewe biashara yako kuu ni ya kuuza matobolwa na bahati mbaya sana kwa Mwanza matobolwa kila mtu ana stock ya kutosha nyumbani kwake.Fanya biashara ya kueleweka uone kama hakuna mzunguko wa pesa
Kama huelew miradi ina impact gan sehm husika kipind cha mzee baba rudi darasan kasomee uchumi, air tanzania ilikuwa inabeba samaki na nyama ya mbuzi frm mwanza na kwa sababu air port ilitanuliwa na wagen wng wakanza kuingia na ajira zikawepo, idad ya watu waliopo kweny ujenz wa kusua sua wa mirad yote utacheka mfn soko lina wafanyakz wa 5 now ndio linao jenga tena bila malipo ya cash yaani mkopo, daraja ndio kabisa vichekesho, atleaat sgr lkn meli ndio wameenda kulala tena wanasubr uchagz ndio waifunguweMeli kibao na vivuko vinaendelea na ujenzi
Sasa ka highway kamoja tuu(Samia anapiga mradi wa Tactic zaidi ya km 20)
Soko kinaendelea na ujenzi
Airport inaendelea na Ujenzi
Majengo makubwa eg TBA yanaendelea na Ujenzi
Sgr na Daraja Ujenzi unaendelea
Matawi ya vyuo Vikuu eg Ardhi ujenzi unaendelea
Kama vyote hivyo vinaendelea yet hakuna mzunguko wa pesa basi ujue kusema miradi ndio ilileta mzunguko wa pesa ni uongo maana hiyo miradi Ina impacts kidogo Kwa wafanyabiashara wa Mwanza Kwa sababu Mingi ni ya Wakandarasi ambao vifaa wanaagiza mbali na Mwanza.
Zilitakiwa ziwe nyingi zaidi na kuboreshwaMleta mada anashangaza eti hotel ipo pale pale,kumbe ilatakiwa iwe imehamishwa au mm sijaelewa.
Ukisema ukweli unaambiwa kazi iendelee kazi which? Kuna jinai kuongea ukwel kwa wanaichi?Ukweli ni kwamba trend ya mabadiliko ambayo watu wanaotaka Kwa mikoani haiwezi tokea kama huko Dar Kwa sababu ya nature ya uwekezaji wa Serikali mikoani.
Mfano haiwezekani Jiji Moja tuu la Dar linapata pesa za miundombinu tuu zaidi ya 2T wakati mikoani haifiki hata Bil.100.
Kwa Hali kama hii hayo mabadiliko ya kuchagiza uchumi yatatoka wapi?
Ndio maana mara zote nalilia kikokotoo kipya Cha mgao wa keki ya Taifa na mbaya zaidi pesa zetu zinajenga Miji michache ya Dar,Dom na Arusha tuu.
Hii inauma sana.Hai make sense GDP ya Mikoa ya Mwanza na Mbeya second and third inatumika kujenga huko kwingine na kuacha sisi tunachekwa yaani.cc Kitombile Mikdde
Mjifunze sasa muwe wamoja?Mkuu mzee alisaidia sana mzunguko na uchumi wa mwanza kuwa juu haswa kwa miradi yake, kwa kipindi cha miaka 6 mwanza iliinuka sana kiuchumi haswa mzunguko wa fedha, mirad mikubwa ilifanyikia kanda hii na pembezon mwa ziwa so matumiz yalikuwa mwanza kwa ukanda wote so nachokiandika nimekiona na nimekiishi so acha kutukana watu, binafsi na declaire interest kwamba mzee alisaidia uchum wangu kukua mara dufu… now mwnz n kama dead city mzunguko uko chini sana