Wewe sasa nadhani unataka kutuletea uongo kwa kudhani unatembea pekeyako Tz hii.Mbona Mbeya coaster ndio zinalipa kushinda hivyo vi hiace?
Imagine Igawilo/Nsalaga-Mbalizi
Mwanza hata ukisimamisha chupa kati kati ya barabara ukarudi baada ya miaka 20 utaikuta ipo palepale watu wamezubaa mji haubadiliki
Zinapaki wap? Au zinazoenda kayenze 😂 tena zimechoka balaa kama tanganyika bus!Zipo
Yaani mji uko dull miaka na miaka. Watu wanaongea kisukuma kila sehemu halafu eti nalo ni jiji.Umesema nilichokishangaa hata mimi
Yan nimezaliwa mwanza nkaondoka toka 2009 nipo dogo kabsa nikarudi tena safari ya kikazi 2022 nkakuta bado pako the same vilevile mpka nkamuuliza sister angu huku wamerogwa au