Mwanza inapokea 10% tu ya mizigo kutoka Dar huku Kigoma ikipokea 41% ya mizigo. SGR ya Mwanza ni White Elephant project

Mwanza inapokea 10% tu ya mizigo kutoka Dar huku Kigoma ikipokea 41% ya mizigo. SGR ya Mwanza ni White Elephant project

Miradi ya kipuuzi na isiyo na tija kama hii hata kwa wanaoishabikia sio ya kuipelekea pesa.

Hivi huko serikalini kuna watu kweli wanaofikiria? Yaani baada ya kukamilika waanze tena kutuongezea kodi eti kulipia kujiendesha? Huu ni wehu
Kama ilivyo sasa tulivyo na mzigo wa kuendesha zile Njiwa
 
Kwasabb ya mwendazake ambaye alikuwa na vinasaba na damu ya upendeleo wa nyumbani kwao (usukumani).
Kanda ya ziwa ndiyo inachangie % nyingi zaidi kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi hii kama hutaki kunywa sumu ufe!
 
Wakati mradi wa SGR unataka kuanza Kigoma walikuwa wamechagua upinzani wengi wengi, na yeye alisema hata ukiwa unachakula unaanza kumpa mtoto wako kwanza, halafu ndio utaangalia hao wengine. Huo ndio ukweli, hawakuchagua maendeleo.
 
Back
Top Bottom