Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

Wewe ni bure kabisa. Siyo kila kuua kunafanya mtu anyongwe au hata afungwe. Kuna watu wanaua na kuiachiwa, tena wengi tu. Inategemea na mazingira yaliyofanya waue. Kosa lako kubwa wewe unalaani bila kuonyesha marehemu waliuawa kwenye mazingira gani na ni kwa nini. Inawezekana kweli kuwa kuna rushwa imetumika lakini uandishi wako na uking'ang'anizi wako wa kusema kuua ni kuua tu bila kujali mazingira ndiyo kunakuangusha.
 
 

Attachments

  • 8588B32C-597C-437B-BA4C-FCA41C6B7746.jpeg
    43.3 KB · Views: 5
Huwezi hukumiwa leo na kushinda rufaa kesho
 
Huenda hivi vielim vya sheria , ndivo vinavyowatoa kwenye Ubinadamu .

Kosa ni kosa, jinai ni jinai, jinai ilothibitika haikupaswa kutetewa na mapungufu ya sheria ,ushahidi au mashahidi wenyewe.

Wewe, Umeua mtu.... Nani anayeweza kuthibitisha Dhamira yako ya moyon kua hukuua Kwa kukusudia ??. Mazingira ??.

Inawezekana Sijui sheria, ila Sina huo ujinga wa kushindwa kujua kua hapa Kuna RUSHWA NA UHUNI TU.
 
Ukienda kweny sheria na maamuzi ya kibadamu basi hakuna haki..kwa sababu binadamu ni watu wenye matamanio ya nafsi japo sheria zake ila mtu anaweza kuvunja kwa maslahi yake kama kupokea rushwa.

Bado Kuna mawakili anajua kabisa hili ndo kosa ila anatetea mteja wake kama sehemu ya kujipatia kipato.

By any means sheria za binadamu ni rahisi hao hao binadamu kuzivunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…