Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uswege Neema huyo umeambiwa ni wa Mbeya. Ndo walewale wanaowauwa wazazi wao.Angekua mchaga kafanya hivyo story zingekua mingi?
Kanda ya ziwa mnasemaje?
Mama walahiJeshi la polisi linamshikilia mwanadada NEEMA MWAMBUSI USWEGE(29) mkoani Mwanza kwa kosa la kumlisha mama mkwe wake sumu kwenye chakula na kumsababishia umauti.
Inadaiwa kuwa mama wa JAMES BULAYA (38) bi ANETH MANYIRIZU umemkuta umauti huo tarehe 13/1/2022 saa 12:00 mchana alipopelekwa hospitali baada ya kutapika damu nyingi nakupoteza uhai, bi ANETH MANYIRIZU amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 katika hosipitali inayodaiwa siyo ya Serikali.
Hata hvyo uchunguzi wa polisi umethibitisha kuwa NEEMA MWAMBUSI USWEGE ndiye muhusika mkuu kwani watoto wake walitoa maelezo kuwa mama ndiye alimpikia chakula bibi yao na kuwakataza wasije wakathubutu kula chakula kile.
Watu wa jirani wametoa maelezo kuwa ugomvi wao na mumewe ulikuwa ukijirudia mara kwa mara huku mwanamke alikuwa akimjibu mumewe kuwa yeye kwake siyo kituo cha kulelea wazee tofauti na hivyo atarudi kwao Mbeya.
Bwana JAMES ni mfanyabishara mkubwa wa dagaa tz na nje ya nchi amesikitishwa kwa tukio hilo la kufiwa mama yake ambaye ndiye mzazi pekee aliyekuwa amebaki
Imani mkuu waislaam wamejazwa imani ya Dini kwamba kuua au kujiua ni dhambi kubwaMauaji yenye sababu za ndoa ndoa yanaendelea.
Mke kaona mama mkwe anamletea kiwingu kwenye ndoa yake kaamua kumuwekea sumu.
Mimi kinachonishangaza vifo vingi vyenye sababu ya kindoa ndoa majina ni ya wakristo tu. Mfano hapo jina neema badala ya kuwa fatuma ama asha
Je waislamu wametuzidi ujanja wapi?
Wao mbona hawaondoani duniani kama sisi.
Binti alikuwa na chuki zake tuHalafu mama mwenyewe mzee tu wala hakuwa na madhara.
Angemlea tu bibi wa watu
Mke alishamkataa Mama mkwe wake jamaa akaendelea kuwa nae.kwa hiyo ajilaumu yeye mwenyewe kwa uzembe wake.Jeshi la polisi linamshikilia mwanadada NEEMA MWAMBUSI USWEGE(29) mkoani Mwanza kwa kosa la kumlisha mama mkwe wake sumu kwenye chakula na kumsababishia umauti.
Inadaiwa kuwa mama wa JAMES BULAYA (38) bi ANETH MANYIRIZU umemkuta umauti huo tarehe 13/1/2022 saa 12:00 mchana alipopelekwa hospitali baada ya kutapika damu nyingi nakupoteza uhai, bi ANETH MANYIRIZU amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 katika hosipitali inayodaiwa siyo ya Serikali.
Hata hvyo uchunguzi wa polisi umethibitisha kuwa NEEMA MWAMBUSI USWEGE ndiye muhusika mkuu kwani watoto wake walitoa maelezo kuwa mama ndiye alimpikia chakula bibi yao na kuwakataza wasije wakathubutu kula chakula kile.
Watu wa jirani wametoa maelezo kuwa ugomvi wao na mumewe ulikuwa ukijirudia mara kwa mara huku mwanamke alikuwa akimjibu mumewe kuwa yeye kwake siyo kituo cha kulelea wazee tofauti na hivyo atarudi kwao Mbeya.
Bwana JAMES ni mfanyabishara mkubwa wa dagaa tz na nje ya nchi amesikitishwa kwa tukio hilo la kufiwa mama yake ambaye ndiye mzazi pekee aliyekuwa amebaki
So sad 4 sureJeshi la polisi linamshikilia mwanadada NEEMA MWAMBUSI USWEGE(29) mkoani Mwanza kwa kosa la kumlisha mama mkwe wake sumu kwenye chakula na kumsababishia umauti.
Inadaiwa kuwa mama wa JAMES BULAYA (38) bi ANETH MANYIRIZU umemkuta umauti huo tarehe 13/1/2022 saa 12:00 mchana alipopelekwa hospitali baada ya kutapika damu nyingi nakupoteza uhai, bi ANETH MANYIRIZU amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 katika hosipitali inayodaiwa siyo ya Serikali.
Hata hvyo uchunguzi wa polisi umethibitisha kuwa NEEMA MWAMBUSI USWEGE ndiye muhusika mkuu kwani watoto wake walitoa maelezo kuwa mama ndiye alimpikia chakula bibi yao na kuwakataza wasije wakathubutu kula chakula kile.
Watu wa jirani wametoa maelezo kuwa ugomvi wao na mumewe ulikuwa ukijirudia mara kwa mara huku mwanamke alikuwa akimjibu mumewe kuwa yeye kwake siyo kituo cha kulelea wazee tofauti na hivyo atarudi kwao Mbeya.
Bwana JAMES ni mfanyabishara mkubwa wa dagaa tz na nje ya nchi amesikitishwa kwa tukio hilo la kufiwa mama yake ambaye ndiye mzazi pekee aliyekuwa amebaki
Dah.....jela inamuhusu 🤭Yaan ni ukatili wa hali ya juu mama wa mume ni sawa na mama mzazi kabisa kaka ilitakiwa mke ajishushe tu ampotezee na amjali maana watu wakizeeka ni wasumbufu unamchukulia kama mtoto tu
Sasa hapo mume hatompenda tena
Kaharibu maisha yake kwa hasira
Dah.....🤭Bujibuji huaminiki ndiyo maana umekimbiwa na Miss Natafuta
Mkuu Hivi Iraq, Afghanistan, Somalia , Sudan nk Ni watu wa Imani gani wanaishi nchi hizo? Mbona kila siku nasikia mauaji huko?Imani mkuu waislaam wamejazwa imani ya Dini kwamba kuua au kujiua ni dhambi kubwa
Mkuu, wazungu kwa kutambua kwamba vijana wanapooa wanatakiwa kuwa huru na wenza wao na watoto watakaopata, wakaanzisha utaratibu wa makazi ya wazee........kwa sisi huduma za social security bado hazina nguvu kuweza kuanzisha huu utaratibu na pia kutokana na tamaduni zetu, lakini ukweli ni kwamba siyo mara zote watu wanakuwa na uvumilivu kukaa na members from extended family ukichukulia na maneno maneno ambayo yanaweza kupelekea hata wanafamilia hasa mke na mume kutoelewana sababu ya ndugu......Yaani mkuu unamuweka mama yako mzazi aliyekuzaa chumba cha uani?
Mama yako ambaye amekulea na kukuza kwa nguvu zote?
Sababu ya kamwanamke kamoja tu ulichokutana nacho ukubwani?
Huyo mwanamke anatakiwa afe kifo kibaya cha kimya'kimya hakuna excuse ya kuhalalisha mauaji ya mzazi tena mzazi mwenyewe ni mama.
Ni wajibu wa kila mwanaume kumlinda mama yake kwa kila njia, huyo jamaa angekuwa anajitambua basi huyo mwanamke angeachana nae kitambo sio binadamu huyo.
Lakini ni vizuri zaidi kuwajengea wazazi nyumba yao na kuwawekea wafanyakazi wa kutosha ili wasipate shida kama hizi kutoka kwa baadhi ya mashetani kama hawa.