reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Talaka inasaidia sana!ndoa ni huruma na mapenzi hvyo vikiisha ndo mtu anafanya mambo ya kutisha km hayo!kiukweli inasikitisha sana!Mauaji yenye sababu za ndoa ndoa yanaendelea.
Mke kaona mama mkwe anamletea kiwingu kwenye ndoa yake kaamua kumuwekea sumu.
Mimi kinachonishangaza vifo vingi vyenye sababu ya kindoa ndoa majina ni ya wakristo tu. Mfano hapo jina neema badala ya kuwa fatuma ama asha
Je waislamu wametuzidi ujanja wapi?
Wao mbona hawaondoani duniani kama sisi.
Ifike mda watu wapeane talaka kirahisi kusowe na mlolongo mrefu wa talaka
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app