Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Huo ni uonevu lkn mwendazake alikuwa hivyo hivyo leo hii yu wapi?
 
Wapuuzi tuu hao mtaani maisha Magumu govt inajaribu kuweka mambo sawa hata kama kutakuwa na maumivu kidogo for a while Ili baadae mambo yanyoke ndio mambo mengine ya Katiba yafuate wanaleta dharau
Government kufanya kazi zake hakuzuii haii za makundi mengine ya kijamii zilizoko kwa mujibu wa sheria.
 
Safi Sana huyu kibaraka wa mabeberu akome,nadhani sasa ataiheshimu taasisi ya urais,huwezi mtisha rais na kumpangia Mambo as if unampangia housemaid wako

Jamaa alidhani kuvunjika kwa koleo ndo mwisho wa uhunzi .

Polisi wabinye korodani zake kadi makengeza yake yawe sawa.
 
Nilisema toka mwanzo kwamba hakuna mtu mwema anaweza akatoka ccm .Wote ni wale wale tu.Nyie mtapiga kura kwengine,sisi tutaunda serikali.
Unataka Katiba mpya ambayo itahamisha nguvu kutoka ccm iende chadema 😆😆😆 eti ndio Katiba mpya,huu ujinga ndio maana unawa cost hamna backing ya wananchi .

So long as wananchi wako kimya automatically wanakubaliana na Katiba ya Sasa,huna wananchi utafanya siasa au movement gani sasa?

Watu wanajengewa hospital kama hizi hapa utawaambia waandamane watakueleza?👇





 

Nilisema toka mwanzo kwamba hakuna mtu mwema anaweza akatoka ccm .Wote ni wale wale tu.Nyie mtapiga kura kwengine,sisi tutaunda serikali.
Upinzani nao wapuuzi ni watu gani ambao wakati wate wanatafuta mapambano ?hakuna wakati wa kutii mamlaka? Wao ni kina nani? Waache wanyooshwe wajinga hao
 
Sidhani kama hili litaepusha kero kwa wananchi juu ya gharama za miamala ya simu na upandaji wa bei za pembejeo za kilimo na mafuta. Sidhani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…