Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

“Anayesimama mbele yenu ni dictator katika maumbile ya kike…”

Sikuku njema

Haya toeni namba za michango faster 🤣🤣

Duh kumbe wote ni walewaleee,
Inasikitisha sana.

Wamekamatwa kwa kosa gani?

You fought JPM instead of fighting the system. Mambo ni yale yale, CCM itoke!

Samia proving her point..

Series of idiots ccm Ni devil
 
Reactions: BAK
Hata kule South Africa, Ian Smith alikua na kiburi kama chako.
 
Government kufanya kazi zake hakuzuii haii za makundi mengine ya kijamii zilizoko kwa mujibu wa sheria.
Hizo haki zenu zisi collide na govt machinery kinyume chake you will suffer.

Hapo mama asiwatoe wakae ndani hadi 2026 ndio akili zitakaa sawa.

Niliwahi kuwaambia hao wazungu wanaowafadhili hawana shida na nyie wao wanaangalia maslahi yao so long as sera za biashara na uchumi ziko friendly kwao you will never get any support from them rather than mere diplomatic press.

Kosa la Magu ni kupambana na mabeberu lakini Maza hana sera mbaya kwenye uchumi ko haya mambo ya siasa ni masuala ya ndani.

Ili wapinzani mu win hili lazima watu wawe tayari kuwapigania,that is politics
 
Dah, inasikitisha Sana, nilipenda Sana mama apige mpaka 2030.Duh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…