Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Wa

Wajinga wa aina hii ndio wanaifanya nchi yetu kushindwa kuendelea. Wewe hujui hata kama unadhulumiwa na mfumo uliopo? Huyo Mbowe ni tajiri wa kujitosheleza angeliweza kukaa tu na kula na kunywa lakini anatetea washenzi tele na bado hawamuelewi.
Huyu Mbowe ameonyesha pasipo na shaka kuwa hana busara ya aina yoyote ile na hastahili kuwa kiongozi.Kutaka mheshimiwa Rais afuate anachoamini yeye Mbowe (TONDO) ni ujinga ulipitiliza ,nadhani mama anastahili kuwa tough zaidi dhidi ya huyu kiumbe.Marehemu Magufuli sasa ndio nimeanza kumwelewe kwa nini alipiga vita siasa chafu za hawa wahuni ,eti tunataka muafaka wa kitaifa ?huyu mpuuzi Mbowe mama simamia nchi ,asituyumbishe hata kidogo.
 
Namba ya mchango wa kuwachangia makamanda wetu huko walikoshikiliwa ni 0777 830 0000,Jina litatokea Mdude Chadema,tuchangie kwa haraka makamanda
 
Watetezi wa Vaksin wametekwa safi sana sasa wataanza kuelewa aliposema yeye na .. ni umoja.
Yaani Mtu huru anaamua kuongeza dili nyingine ya vaksini kwa ndugu zake bila kuangalia madhara yoyote hili yeye apate pesa kweli huyu jamaa ni balaa na nyumbu kama kawa, toba.
 
Namba ya mchango wa kuwachangia makamanda wetu huko walikoshikiliwa ni 0777 830 0000,Jina litatokea Mdude Chadema,tuchangie kwa haraka makaman
 
mwanamke aki react anakuwa mbaya Sana ngoja tuone
 
Mbowe ametoka kuuguza mgonjwa was korona, nduguye ambaye hatimaye alifariki na alishiriki mazishi,busara ya kawaida ingemtaka akaye karantini siku 14 kuona kama hana maambukizi, lakini kaenda mwanza, anataka kukusanya watu, bila kujali kwamba endapo ana maambukizi atahatarisha afya zao
 
Mama anaogopa kivuli chake mwenyewe....suala katiba haluepukiki ajipange tu awape wananchi wanachotaka
Leo mbowe ndio kawa wananchi ?jaribuni kuwa serious basi ,huyu mpuuzi anakimbizana na per diem eti anataka katiba mpya
 
Mbowe alikuwa zake dubai, baada ya kifo tu cha yule jamaa amerudi kwa kasi mno na mikutano kila kona na episodes zisizoisha.....CDM itisheni maandamano ili tozo ziondolewe au itisheni maandano kutusaidia kudai Fao la kujitoa...hapa tutawasaidia kuandamana lakini haya mambo yenu ya Katiba mpya bakini nayo huko huko...

Muda si mrefu TL naye atarudi halafu wataanza kumlaumu mama baada ya kumshukuru wako huru sasa ndani ya nchi yao...TL aliomba ahakikishiwe ulinzi, bila shaka JPM alimhakikishia ulinzi akaja kushiriki uchaguzi baada ya uchaguzi inaonekana ulinzi aliohakikishiwa ukawa haupo tena akaondoka..
 
Back
Top Bottom