Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

Ni vema mama angesikiliza vijana wote toka makundi mbalimbali kabla hajahutubia..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hivi ujana mwisho miaka mingapi?
 
Sio kwamba vimemsusa bali havilazimishwi kama zamani.

Nasubiria siku mama atakapoamua kuongea na wanaume wa Tanzania, nami nijivinjari kiwanjani nikademke na mama.

😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndio wamejazana hapo na barakoa zai ila no social distancing. Barakoa bila ya social distancing wakati zote ninmbinu zinazotegemea. Acha Mungu wa Mbinguni aendelea kuwapiga upofu na kuwanyanganya kibali chake tuone huyo Mzungu wanayecmfurahisha na kumtegemea kama atachukua nafasi ya Mungu.
Bora hao wana angalau barakoa..! Wale wa kule Mbeya na mtemi isike hawakujali cha social distance wala face mask...!
 
Rais, na sisi wakulima wa jembe la mkono tunaomba tuongee na wewe ana kwa ana ili tukupe changamoto zetu - hatutaki hao madalali wa mazao wavamie mkutano wetu, tunayo mengi mengi ambayo hujawahi kuambiwa kuhusu sisi wakulima wa hali ya chini kabisa.

Hao madalali wa mazao ndiyo wanyonyaji wakubwa, wanatukopesha hela kidogo wakati wa kilimo ili tujikimu kisha wanachukua mazao yetu wakati wa mavuno kwa bei ya bwerere - tuna mengi Rais wetu ya kukuambia.
 
Dikteta alijifanya kuipuuza Covid19, alijua anawakomoa mabeberu, kumbe anachezea uhai wake,

Kilichompata kila mtu ashajifunza,ukitaka kujua dikteta nini kimemuua, jibu ni ilo namna wenzie walivyo makini kuchukua tahadhali ya Covid19

Wenzie hawatakufa kwani? Ama sijakuelewa. Amelaaniwa/ka na Mungu wa Mbinguni yeye amtegemeaye mwanadamu. Ukengemfu tu huu wao wanajua kuchukua tahadhari kuliko USA ambapo namba ya wafu imezdii 600,000? Na walifikia kuvaa barakoa mbilimbili za ubora na viwango. Sembuse hizi za kwenu hapa za wahindi na wachina!!! Endeleni kuhangaika tutaona mwisho wenu.
 
Kwani si tulikubaliana tumuongezee muda ******** jamani na tukasema hakuna mwingine mwenye akili kama yeye mbona mnatutajia rahisi mwingine Mataga pori ninyi kama dili limeshindikana mbona hamsemi nini kimewakutapo pimbi ninyi?
 
Bora hao wana angalau barakoa..! Wale wa kule Mbeya na mtemi isike hawakujali cha social distance wala face mask...!

Barakoa na ile show ya wodini ili nzungu aingie kingi huku mwasahau mmepuuzia kumtegemea Mungu wa Mbinguni. Hakuna aliye mpuuza Mungu au kutakakuonesha kuwa hawezi kuwa suluhisho na akabaki salama. Subiri majira na nyakati zake utaona Ukuu Wake na Matendo yake Makuu.
 
Ila jukwaani naona wazee kibao.
Kwani hao viongozi wa dini waliofanya dua,hakuna vijana akina Mchungaji Mkandamizaji wakafanya dua?
 
Ila jukwaani naona wazee kibao.
Kwani hao viongozi wa dini waliofanya dua,hakuna vijana akina Mchungaji Mkandamizaji wakafanya dua?
Ili kuoanisha mukhtadha na maudhui ilitakiwa na hao viongozi wa dini wa kufanya maombi wawe vijana. Na wapo wengi tu..!!
 
Wataongea na vijana kuhusu muziki tu

Hawataongelea matatizo ya vijana kuhusu ukosefu wa ajira na kutafuta suluhisho

Wanapora fursa za vijana za kujiajiri kwa kuwapora mitaji yao. Mtu anafanya kazi 5 years kwenye kampuni, inatosha. Mkataba ikiisha, mpeni FAO LA KUJITOA.

Viongozi wa Serikali, Waziri Mkuu, Spika na Mawaziri wanasema vijana mjiajiri..Hawatoi suluhisho la kupata mitaji. Ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom