Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Morogoro mjini hawana kazi kuanzia leo hii hatari
 
Aanzishe kila kitu ila tume huru ya uchaguzi ndio itaamua kama hayo aliyoyafanya yanakubalika na jamii imemkubali zaidi ya hapo ni blah blah blah za kiccm tu kama tulivyozeshwa kulishwa matango mwitu.
 
Reactions: BAK
Angefufua Kwanza Benki ya kina mama TWB ambayo Kwa Sasa ipo hoi chini ya uangalizi wa BOT.
 
Sidhani kama tatizo ni kukosa benki,mbona halmashauri wanatoa pesa tena za bila ribia? Vigezo vingeboreshwa na viwango kuongezwa hakuna haja ya benki
 
Mama anaanza kuchemka.
Bank ya vijana
Bank ya wazee
Bank ya wamama
Bank ya walemavu
Bank ya wastaafu.
Bank ya machinga
Bank ya wakulima
Bank ya wachimbaji
Hii itaenda na haitaisha.

Mama shughulikie riba kushuka na sio kuanzisha bank ya kila kundi.
 
No need ya kua na bank ya vijana.. changamoto za vijana kukopesheka zifanyiwe kazi kwanza
 
Mama ana Maono ya mbali kuliko yule Ibilisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…