Uchaguzi 2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Kama ni kweli basi CCM ni chama cha hovyo kabisa!!
 
Vipi wale waliokuwa wanamsubiria njiani, yaani CDM wameshikwa pabaya.
 
Fiesta eti!?
Naona mmebabaishwa sana na mapokezi tu tena ya kistaarabu lakini yakiwa na nyomi kubwa ka watu, tofauti na lile kundi wahuni wachache waliofanya mkutano viwanja vya furahisha, sasa subirini j3 mwamba atakavyounguruma CCM kirumba
 
Sasa kwanini wazuie kufungua shule mkuu?
 
spana za Lissu za Dodoma zimewavuruga sana mataga hadi mmepoteana 🤣🤣🤣
 
Hata enzi za Nyerere.. tulikwenda shule na kwenda kwenye ya chama.. bonge la outing.. no kusoma siku husika..

Tuliza boli...

Magufuli 2020 💯
 
Hata enzi za Nyerere.. tulikwenda shule na kwenda kwenye ya chama.. bonge la outing.. no kusoma siku husika..

Tuliza boli...

Magufuli 2020 💯
lakini siku ya msiba wa Mkapa mkasema watu wafanye kazi
 
Naona matangazo yanaendelea ama kweli Lisu kawavuruga...
 
Mbeba maono..
 

Attachments

  • 0_IMG-20200902-WA0000.jpg
    59.4 KB · Views: 1
Acha kujidanganya watu waigoma tuu wanaweza kulingana au na kuzidi watu wote waliudhulia mikutano yenu yote ya dar nzima nyumbu nyie safari hii dawa inawaingia vizuri.
 
Mbeba maono..
Hv huyu bwana kapotelea wp,simsikii kabisa ama Kesha patiwa kazi ndogondogo za kufanya,unamkumbuka yule mgombea machachari wa chama hicho kabla ya waziri Mkuu mstaafu naye alikuwa hivyohivyo baada ya kupewa kazi kimyaaa
 
Dogo Molemo acha urongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…