Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache akamuone diamond jamani. Eti sio mzee babaHouse girl wangu leo ameomba ruhusa kuwa anataka akamuone diamond kwa mara ya kwanza pale CCM kirumba. Je nimruhusu au nimwache aende?
Naona mmebabaishwa sana na mapokezi tu tena ya kistaarabu lakini yakiwa na nyomi kubwa ka watu, tofauti na lile kundi wahuni wachache waliofanya mkutano viwanja vya furahisha, sasa subirini j3 mwamba atakavyounguruma CCM kirumba
Ni kweli Fiesta ya kusherehekea ushindi mzito wa CCM hapo October 28Fiesta eti!?
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona
spana za Lissu za Dodoma zimewavuruga sana mataga hadi mmepoteana 🤣🤣🤣Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona
lakini siku ya msiba wa Mkapa mkasema watu wafanye kaziHata enzi za Nyerere.. tulikwenda shule na kwenda kwenye ya chama.. bonge la outing.. no kusoma siku husika..
Tuliza boli...
Magufuli 2020 💯
Wawa ache watoto wetu wasome ukizingatia walikaa muda mrefu bila masomo..Ndio maana kampeni zao zimejaa watoto
Kumbe ndo wanawategemea kujaza nafasi kwenye viwanja vyao
Tazama hiyo picha hao watoto mbeleView attachment 1560981
Hv huyu bwana kapotelea wp,simsikii kabisa ama Kesha patiwa kazi ndogondogo za kufanya,unamkumbuka yule mgombea machachari wa chama hicho kabla ya waziri Mkuu mstaafu naye alikuwa hivyohivyo baada ya kupewa kazi kimyaaaMbeba maono..
Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM
Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali imejionyesha pamoja na kutumia wasanii haijasaidia kitu.
Mgombea wa Urais kupitia Chadema Tundu Lissu aliingia Mwanza kwa kishindo kikubwa wiki iliyopita na kuvuta umati wa watu ambao wachunguzi wa mambo wanasema huenda ukawa umati mkubwa zaidi kutokea jijini Mwanza.
Wazazi kadhaa wamelaani hatua ya kutumiwa ujumbe mfupi na wakuu wa shule kadhaa wa maandishi unaowataka wasipeleke watoto shule kesho.
Wazazi hao wamesema hiyo ni kinyume na kanuni za Tume ya Uchaguzi na inaonekana waziwazi CCM imeamua kukanyaga sheria hizo.