Hakika.Sio niulize Mwanza, mi naishi hapa hapa Mwanza......ukiangalia hili nyomi la leo kwenye mapokezi ni zaidi ya mara 3 ya ule upumbafu mliokuwa nao hapa juzi kati viwanja vya furahisha
Unasemea hawa watoto wa shule ndo kujaza mikutano ya ccm sio ?Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
Kwani shazi la Lissu Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara ni kanda ipi!??
Dunia iko kiganjani usiishi kama enzibza ujima...
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
Halafu watakuja kukwambia CCM inakubalika sana kanda ya ziwa, wakati hata watu wa kwenda kwenye mikutano yao hawana, hawa watu nina hakika waliiba kura 2015, Magufuli hakushinda ule uchaguzi kihalali, sasa ndio wanaanza kuumbuka.

Nasubiri nione tume itasemaje au watapiga kimya.Huu utawala unaoondoka,ndio utawala unaoongoza kwa kuvunja sheria.
Hakika bariadi na ma bus yetu kibao 'palijaa mnoooo'.Tunaandika kuthibitisha upungufu wa kuona uhalisia wetu, ambao ulikuwa umejificha.
Tuongeze nguvu ya kutosha kanda zingine ambazo uwezo wa kupindua boti upo, hii kanda tumekwisha poteza. Ila kama kutamka ndio kushinda tuendelee kupoteza nguvu ya kipesa ambayo muda wote Uongozi unakiri kuna upungufu wa kutosha Chamani.
Mkuu taarifa zilitoka tangu jana. Shule binafsi walituma sms kwa wazazi/walezi jana mchana.Yaani huu upuuzi sijui utaisha lini. Nimeshangaa asubuhi hii, watoto wakiwa wanarudishwa majumbani.
Hata taarifa ya kuahirisha masomo imetolewa asubuhi ya leo.
Sababu kubwa ni kuwa walimu wote wamelazimishwa kuhudhuria mkutano wa kampeni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka nikiwa mtoto tulishapelekwa kuhudhuria shuguli fulani ya serikali hata sijui ilikuwa ni ya nini, na ndio wakati pekee nilimuona Nyerere. Sitasahau maishani mwangu.Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM.
Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali imejionyesha pamoja na kutumia wasanii haijasaidia kitu.
Mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aliingia Mwanza kwa kishindo kikubwa wiki iliyopita na kuvuta umati wa watu ambao wachunguzi wa mambo wanasema huenda ukawa umati mkubwa zaidi kutokea jijini Mwanza.
Wazazi kadhaa wamelaani hatua ya kutumiwa ujumbe mfupi na wakuu wa shule kadhaa wa maandishi unaowataka wasipeleke watoto shule kesho.
Wazazi hao wamesema hiyo ni kinyume na kanuni za Tume ya Uchaguzi na inaonekana waziwazi CCM imeamua kukanyaga sheria hizo.
Mruhusu tu mkuu, hao ndiyo wanachama wa ccm, kama wewe siyo mwerevu huwezi elewa cmd wanasema nini so size yako inakuwa ccmHouse girl wangu leo ameomba ruhusa kuwa anataka akamuone diamond kwa mara ya kwanza pale CCM kirumba. Je nimruhusu au nimwache aende?
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
Ni lazima apate watu mara tano ya lisu kwa njia kama hizoAcha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.
Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
Wameshikwa pabaya!Wakuu nilisikia jana lkn sikuamini mpaka asubuhi hii nilipoamua kupiga simu kwenye shule mbili za binafsi ambako watoto wangu wanasoma.
Wameagiza hakuna shule leo na watoto waruhusiwe kwenda kwenye mkutano bila uniform.
Wakuu hii maana yake nini?
Kwa nini kulazimisha kwa kiasi hiki?
Ni kweli mikutano ya magufuli ni Muhimu kuliko elimu ya watoto wetu?
Nimesikitika sn kuhusu amri hii haramu.
Makada wa ccm ni waalimu itakua