Uchaguzi 2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Uchaguzi 2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Sio niulize Mwanza, mi naishi hapa hapa Mwanza......ukiangalia hili nyomi la leo kwenye mapokezi ni zaidi ya mara 3 ya ule upumbafu mliokuwa nao hapa juzi kati viwanja vya furahisha
Hakika.
JamiiForums-879927817_641x534.jpg
 
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.

Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
Unasemea hawa watoto wa shule ndo kujaza mikutano ya ccm sio ?
IMG_20200906_163418.jpg
 
Kwani shazi la Lissu Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara ni kanda ipi!??

Tunaandika kuthibitisha upungufu wa kuona uhalisia wetu, ambao ulikuwa umejificha.

Tuongeze nguvu ya kutosha kanda zingine ambazo uwezo wa kupindua boti upo, hii kanda tumekwisha poteza. Ila kama kutamka ndio kushinda tuendelee kupoteza nguvu ya kipesa ambayo muda wote Uongozi unakiri kuna upungufu wa kutosha Chamani.
 
Unafanana na wale wa kiulizo wa masanja
Jamaa anasema yeye ndio mkuu wa shule kaombwa jambo ambalo sio ka kweli...

bila kusoma na kuelewa unatetea mkuu?

Dammit wabongo nani katuroga[emoji3][emoji3]
Dunia iko kiganjani usiishi kama enzibza ujima...
 
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.

Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.

Wewe mjinga kabisa, waalimu wote na wafanyakazi wamesainishwa na kuweka kidole gumba bisha kama hawakufanyiwa hivyo. mjinga unabisha tu
 
Halafu watakuja kukwambia CCM inakubalika sana kanda ya ziwa, wakati hata watu wa kwenda kwenye mikutano yao hawana, hawa watu nina hakika waliiba kura 2015, Magufuli hakushinda ule uchaguzi kihalali, sasa ndio wanaanza kuumbuka.

1599467353970.png

Unaona msanii yeyote apa? na hapa alikua kaenda kukagua mradi ilikua ata sio kampeni
 
Halafu watakuja kukwambia CCM inakubalika sana kanda ya ziwa, wakati hata watu wa kwenda kwenye mikutano yao hawana, hawa watu nina hakika waliiba kura 2015, Magufuli hakushinda ule uchaguzi kihalali, sasa ndio wanaanza kuumbuka.

1599467448859.png
 
Tunaandika kuthibitisha upungufu wa kuona uhalisia wetu, ambao ulikuwa umejificha.

Tuongeze nguvu ya kutosha kanda zingine ambazo uwezo wa kupindua boti upo, hii kanda tumekwisha poteza. Ila kama kutamka ndio kushinda tuendelee kupoteza nguvu ya kipesa ambayo muda wote Uongozi unakiri kuna upungufu wa kutosha Chamani.
Hakika bariadi na ma bus yetu kibao 'palijaa mnoooo'.
JamiiForums-1170564740.jpg
 
Ningekuwa naishi Mwanza wanangu wasingeenda kabisa huko Kirumba,bora walale kutwa nzima kuliko kwenda kupoteza muda wao bure.
 
Yaani huu upuuzi sijui utaisha lini. Nimeshangaa asubuhi hii, watoto wakiwa wanarudishwa majumbani.

Hata taarifa ya kuahirisha masomo imetolewa asubuhi ya leo.

Sababu kubwa ni kuwa walimu wote wamelazimishwa kuhudhuria mkutano wa kampeni!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu taarifa zilitoka tangu jana. Shule binafsi walituma sms kwa wazazi/walezi jana mchana.
Ni matarajio yangu kuwa tume itakemea jambo hilo.
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM.

Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali imejionyesha pamoja na kutumia wasanii haijasaidia kitu.

Mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aliingia Mwanza kwa kishindo kikubwa wiki iliyopita na kuvuta umati wa watu ambao wachunguzi wa mambo wanasema huenda ukawa umati mkubwa zaidi kutokea jijini Mwanza.

Wazazi kadhaa wamelaani hatua ya kutumiwa ujumbe mfupi na wakuu wa shule kadhaa wa maandishi unaowataka wasipeleke watoto shule kesho.

Wazazi hao wamesema hiyo ni kinyume na kanuni za Tume ya Uchaguzi na inaonekana waziwazi CCM imeamua kukanyaga sheria hizo.
Nakumbuka nikiwa mtoto tulishapelekwa kuhudhuria shuguli fulani ya serikali hata sijui ilikuwa ni ya nini, na ndio wakati pekee nilimuona Nyerere. Sitasahau maishani mwangu.

Nasikitika tu nilikuwa mjinga sikujua umuhimu wake wala aliongelea nini, na alikuwa kama mita 2 toka niliposimama na chachacha zangu mguuni.

Nakumbuka tu alikuwa amevaa kaunda suti nyeupe, kafimbo kake kwapani, akiongea kwa mikono na tabasamu.

Kwahao watoto wanaokwenda kumuona Magu, hopefully wapo watakaotoka na kitu. Labda wapo watakaotamani kuwa viongozi, etc.
 
House girl wangu leo ameomba ruhusa kuwa anataka akamuone diamond kwa mara ya kwanza pale CCM kirumba. Je nimruhusu au nimwache aende?
Mruhusu tu mkuu, hao ndiyo wanachama wa ccm, kama wewe siyo mwerevu huwezi elewa cmd wanasema nini so size yako inakuwa ccm
 
Kwa nini shule haizijafunguliwa?
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.

Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
 
Acha uzwazwa watu tu waliokuwa wamemsuburi njiani ni zaidi ya waliohudhuria mkutano wa Lissu, subiri kesho dawa iwaingie.

Ni Bahati mbaya sehemu ambazo zinawatia moyo Jamaa akienda anapata watu mara tano ya Lissu, halafu sehemu ambazo Magufuli na CCM wana base, Lisu anaambulia watu wa level ya udiwani, juzi Dodoma uliona.
Ni lazima apate watu mara tano ya lisu kwa njia kama hizo
 
Wakuu nilisikia jana lkn sikuamini mpaka asubuhi hii nilipoamua kupiga simu kwenye shule mbili za binafsi ambako watoto wangu wanasoma.
Wameagiza hakuna shule leo na watoto waruhusiwe kwenda kwenye mkutano bila uniform.

Wakuu hii maana yake nini?
Kwa nini kulazimisha kwa kiasi hiki?
Ni kweli mikutano ya magufuli ni Muhimu kuliko elimu ya watoto wetu?

Nimesikitika sn kuhusu amri hii haramu.
Wameshikwa pabaya!
 
Ni vema watoto wakampe hongera JPM kwa maamuzi yake kwenye janga la Corona,bila JPM kuonyesha msimamo mpaka sasa watoto wasingekuwa shule,nchi nzima ingekuwa lock down.
 
Back
Top Bottom