Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
442
Reaction score
1,655
CCM wanalazimisha sana kukubalika

Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Hired crowd?
 
Waliotoa amri ya wananchi kusombwa ndiyo wajinga.
 
Jana nimepokea barua kutoka ofisi ya management ya Rock City Mall kuwa jumatatu sitakiwi kufungua biashara yangu kwa sababu maegesho ya Rock City Mall yatatumiwa na viongozi wa serikali watakaokuwa kwenye mwenge kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa saba mchana.
Ndo hivyo mkuu watakua pale kirumba yani full kero na kuharibu shughuli za watu
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Kiukwl toka nione siasa za bongo pasua kchwa mm nimeona jambo laktaiva kuliko niende kupoteza muda bora npge bia yang ya Guinness mbili na coke n jifurahishe maishan hii taifa watakuja kulikomboa uwenda n kzaz ya kusadikka lakn ss 🤣🤣🤣 tulen tu ugali maharagwe
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Niliwambia CDM ni chama cha wazushi na waong😵h!! Lowasa ni fisadi.Halafu akaja kuwa mgombea urais wa cdm.
 
Kama ni hivyo wanastahili kupongezwa kwa kufanikiwa kuwapata hao wa kuwapeleka. Chadema hapa juzi kati kilishindwa kuwapata hata watu kumi katika maandamano njaa hapo dar......magari yalirudi na mtu mmoja au wawili ambao nao wakafikia tu lodge walikopangiwa na kina lissu bila hata ya kutoka ndani na hivyo kuyafanya maandamano yadode kupitiliza katika historia ya nchi hii.
 
Umekatwa kichwa.unaandika kama huna ubongo.Wajinga mliobaki ni wachache sana.
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Huna kazi ya kufanya? Kazi yako kukodolea macho na makalio yako barabarani kuangalia magari yanayopita ?

Tafuta hela wewe acha kukodolea barabara
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Sasa watu watembee kwa mguu
 
Yes,
Hilo ni jambo la kawaida kufanywa na vyama vyenye nguvu, wanachama wengi na uwezo kiuchmi kuwawezesha wanachama wake kutoka mikoa tofauti tofauti au maeneo jirani, kumobilise usafiri wa pamoja na kujumuika na viongozi wa kitaifa katika mambo mbalimbali ya kitaifa nchini ikiwa ni pamoja na Mwenge.

Zoezi hilo ni endelevu kwasababu linachochea moyo wa kizalendo na kujitolea kwa wanachama wake. Lakini pia kuimarisha undugu na utalii wa ndani..

Asanti sana makada wa CCM kwa kujitolea usafiri na maji kidogo kwa wanachama, lakini pia shukrani sana kwa wananchi wazalendo hususani wana CCM wenyewe, kwa kwa kua tayari kujitolea muda wao, kuacha shughuli zao na kujumuika na RAIS Dr Samia Suluhu Hassan, katika hafla na matukio mbalimbali ya Kitaifa kama vile Mwenge huo wa uhuru 🐒
 
Back
Top Bottom