Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Hapo na wafanyakazi wote watalazimshwa kuhudhuria na wakuu wa Idara wanaambiwa muende na daftari la mahudhurio.
 
Mkuu mbona maelezo mengi sana, mimi nimekwambia tu kuwa jua wewe siyo chizi, usijivishe uchizi
lazima nieleze mambo haya kwa kina kidogo kwa faida ya wadau..

hata hivyo,
ukichoka kusoma maelezo hayo muhimu na ya maana sana, unapumzika tu, kisha wadau watapita nayo vizuri tu na watajifunza kitu cha maana sana na itapendeza zaidi..

ama kuna ubaya ubwela wowote gentleman 🐒
 
Nope, sawa mkuu
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Atakuja lukas Mwashambwa na ngonjera zake!
 
lazima nieleze mambo haya kwa kina kidogo kwa faida ya wadau..

hata hivyo,
ukichoka kusoma maelezo hayo muhimu na ya maana sana, unapumzika tu, kisha wadau watapita nayo vizuri tu na watajifunza kitu cha maana sana na itapendeza zaidi..

ama kuna ubaya ubwela wowote gentleman 🐒
Wapambe mpo!
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
johnthebaptist anaita hiyo ni mbinu ya kisayansi/kubeba na kusombelea watu ili wajae kwenye matukio ya CCM. 🤔
 
Actually,
ukweli lazima uwekwe bayana kwa faida ya wadau bila mbambamba ya mtu yeyote 🐒
Ukweli ni CCM imechokwa sana hata wenyewe kwa wenyewe hamuaminiani mfano:Luhaga mpina,Nape,jamaa wa Kagera nae,mkuu wa Wilaya flani, Landlover festal mradi tuu kunakucha!
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika

Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Hovyo sana!
 
huku ikiwa imejaa na kukita kambi na kusimika mizizi yake vizuri sana moyoni na kwenye fikra za waTanzania ikiwemo wewe, right?🤣

maana ni vigumu kumtofatisha anaeipenda na asie ipenda CCM maana wote wanaizungumzia CCM kwa nguvu sana na si vinginevyo 🐒
 
Ndio maana CCM halitaki katiba na huyu Raisi,alikuwepo kwenye bunge la katiba,hasikiii Wala haongelei,kwani anayajua madhara yake kwa CCM! kitakufa kama KANU ya Kenya.Na ndio maana wewe na lukas Mwashambwa na Wengine mumo humu,kukesha na mapambio,Mtakuwa na Bima ya afya premium ili msikisekane humu!
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika

Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
CCM wanalazimisha sana kukubalika📌🔨
 
Ndio maana CCM halitaki katiba na huyu Raisi,alikuwepo kwenye bunge la katiba,hasikiii Wala haongelei,kwani anayajua madhara yake kwa CCM! kitakufa kama KANU ya Kenya.Na ndio maana wewe na lukas Mwashambwa na Wengine mumo humu,kukesha na mapambio,Mtakuwa na Bima ya afya premium ili msikisekane humu!
hakuna haja ya katiba ingine, si muhimu wala kipaumbele kwasasa..

Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hasan ipo kazini kuwapelekea waTanzania maendeleo na si vinginevyo 🐒
 
What is the problem? Sisi tulisombwa mwaka 1968 hadi Mwadui kumpokea Makamu wa Kwanza wa Rais Abedi Amani Karume: kuna ubaya gani, si ni Rais wetu? Mwaka 1991 alikuja Baba Mtakatifu Yohani Paulo II akatoa Misa pale Kawekamo. Waamini wengi tulisombwa kutoka Parokia zote Jimbo Kuu la Mwanza. Kuna ubaya gani, si ni Papa wetu? Baadaye akajaitwa Mtakatifu Yohani Paulo wa Kawekamo, isn't that great?
Watu walijipanga barabarani kumpokea papa kutokea uwanja wa ndege sijui mpaka wapi , maana Mimi nilikua pale makutano ya barabara Tazara Railway Station nilishangaa kwa umati kama Ule.
 
Back
Top Bottom