Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

hakuna haja ya katiba ingine, si muhimu wala kipaumbele kwasasa..

Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hasan ipo kazini kuwapelekea waTanzania maendeleo na si vinginevyo 🐒
Sema kipenzi Cha baadhi ya wanaccm,sio Watanzania

Watu walijipanga barabarani kumpokea papa kutokea uwanja wa ndege sijui mpaka wapi , maana Mimi nilikua pale makutano ya barabara Tazara Railway Station nilishangaa kwa umati kama Ule.
Ukawa unamshangaa na redio Yako ya uongo kwa kusomba wanafunzi!
 
Tumewapeleka kwa mabasi kwani shida iko wapi?

Ila watarudi walikobebwa na magari kwa Miguu 😀😀😀
 
Sema kipenzi Cha baadhi ya wanaccm,sio Watanzania
kwahivyo wanaCCM sio waTanzania right?🤣

Rais, Dr. Samia ni kiongozi kipenzi cha wananchi na waTanzania wote katika ujumla wake.

Na hili liko wazi na wala halihitaji mjadala 🐒
 
Hilo la wote nakukatalia, maandamano ya Amani kupinga walikuwa na kutekwa yaliyoandaliwa na baadhi ya watanzania alishiriki!Kama ni kipenzi Cha watanzania?Ni kipenzi Cha baadhi ya wanaccm ingawa ni watanzania, FULL STOP.......yajayo yatakuduwaza na Mwashambwa!
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika

Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Sizani kama hao wamelazimishwa kama unavosema,,
Yaani kwenye mikutano tuh unaandika utazani wamefanya mobilization ya jeshi
 
Tumechoka ngonjera za CCM, uchunguzi huru hamtaki, maandamano ya Amani hamtaki, katiba mpya hamtaki, Uhuru wa kuchagua hamtaki, duuh!
 
Hilo la wote nakukatalia, maandamano ya Amani kupinga walikuwa na kutekwa yaliyoandaliwa na baadhi ya watanzania alishiriki!Kama ni kipenzi Cha watanzania?Ni kipenzi Cha baadhi ya wanaccm ingawa ni watanzania, FULL STOP.......yajayo yatakuduwaza na Mwashambwa!
kwa taarifa yako waTanzania wote zaidi ya milioni 50 ikiwa ni pamoja na wanafunzi wasomi wa ngazi zote tangu chekechea, wameshaamua tayari kwamba iwe jua au mvua ni Dr.samia Suluhu Hassan mpaka 2035🐒
 
Hatari hadi wa chekechea!
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika

Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
#Mama ANAUPIGA MWINGI
#Mitano Tena

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
CCM wanalazimisha sana kukubalika

Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi

Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi

CCM msiforce kupendwa.
Wewe ndiye mjinga mjinga!
Kuna tatizo gani watu wakipatiwa usafiri wa kuwawezesha kufika uwanjani kwa urahisi kwa tukio kubwa kama hili la Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere na kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru?
Tena shughuli yenyewe inasimamiwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mbona kwenye maandamano ya CHADEMA ya tarehe 23/09, hukujitokeza ukaacha Mbowe aandamane na familia yake!
Wewe ni zuzu kweli kweli!
 
Hii ni shughuli ya kiserikali, ni maadhimisho. Sioni tatizo kusombwa kwenda kumuenzi mwalimu, tatizo ni kwa mikutano ya kichama
 
Back
Top Bottom